Ili kuokoa Bandari yetu isitekwe na Dubai, tuanzie hapa

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
886
2,199
Kuna kila dalili kuwa maamuzi ya kutoa sadaka Bandari yetu yalishafanyika kwa mujibu wa maelezo ya Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa kupitia BBC kwa madai "hatuna fedha Trilioni 4 kujenga gati Mpya 9" hivyo Waarabu wa Dubai wanazo fedha. Chambuzi nyingi zimeshafanyika lakini Kuna danganya toto eti "tunakusanya maoni" ya hati ya Dharura Bungeni.

Naombeni mnisaidie. Ni nani hasa anamshauri Samia Suluhu Hassan masuala ya uchumi? Tukimfahamu huyu ndiye tutalala naye mbele.

Naambiwa ni mwanamke Mzanzibari alikuwa pale UDSM ndiye amevutwa Ikulu. Mnaomfahamu tupeni CV yake na sura yake "tufanye yetu". Karibuni.
 
Tubinafsishe hao wanaotaka kubinafsisha bandari kwanza kwa kuwapiga chini uchaguzi ujao, then tuanzie hapo kwa kuwaamba tutakaowakasimu madaraka wajue tunachotaka.

Tena huyu demu anauzika kirahisi hata kama ashakula sana chumvi. Gari huzeeka na bodi lake
 
Isiyo Kongwe Haivushi, Sasa Mnaona Muhari Unavyotusumbua Awamu Hii
Mzilankende Huyu Baba Asingefanya Haya
IMG-20220725-WA0016.jpg
 
Naombeni mnisaidie. Ni nani hasa anamshauri Samia Suluhu Hassan masuala ya uchumi? Tukimfahamu huyu ndiye tutalala naye mbele.
Unaifahamu gesi ya taifa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dk Blandina Kilama na mswahili mwingine lakini hii ni kazi ya matapeli kama kina boss wa yanga au rost tamu hawa wanaitwa Gold mafias kazi yao ku penetrate into country leaders na kupitisha ajenda zao. Waweza kukuta kwenye watu wa kati wa kuwaleta DP world hata gavan wa mombasa anahusika
 
DP world inaendesha bandari zaidi ya 70 na katika nchi karibu ya 40, ziko Europe,N America,Africa na Asia.. Hivi nyie hamuoni hali ya bandari yetu? Bandari inaendeshwa utasema biashara boda boda au daladala.

Kwa wanao tegemea hi bandari kwenye biashara zao ndio wataelewa nini faida ya kuwapa DP world, na pia wizi wote kwenye hii bandari ndio wanapiga vita haya mabadiliko.

Acheni kuwa na mawazo ya kibaguzi, eti wanapewa warabu, hamuoni jinsi hao warabu wanaendesha bandari zao? Na jinsi hizo Bandari zilivyo endelea. Muwekezaji mzungu akijitokeza wote mtapiga vigeregere. Pumbafu kabisa
 
Dk Blandina Kilama na mswahili mwingine lakini hii ni kazi ya matapeli kama kina boss wa yanga au rost tamu hawa wanaitwa Gold mafias kazi yao ku penetrate into country leaders na kupitisha ajenda zao. Waweza kukuta kwenye watu wa kati wa kuwaleta DP world hata gavan wa mombasa anahusika
Punguza kuangalia documentaries
 
DP world inaendesha bandari zaidi ya 70 na katika nchi karibu ya 40, ziko Europe,N America,Africa na Asia.. Hivi nyie hamuoni hali ya bandari yetu? ...
Masharti ya mkataba umeyasoma mkuu?? Wangekua na nia njema wangeweka masharti nafuu
 
Back
Top Bottom