Jaji Mutungi: Mchakato wa Katiba mpya hautatekwa na Wanasiasa kwa sababu hao ni Kundi dogo tu katika Jamii nzima ya Watanzania!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Msajili wa Vyama Vya Siasa Jaji Mutungi anesema mchakato wa Katiba mpya hautatekwa na Wanasiasa

Mutungi amesema Vyama Vya Siasa ni Sehemu tu ya Jami ya Watanzania hivyo mchakato utabalansisha makundi Yote yanayounda Jamii au Taifa la Tanzania

Source: Mwananchi
 
Naanza kuwa na matumaini na mchakato huo kutupatia katiba bora maana nilipata mashaka nilipoona Upinzani umeweka uzio kwenye mchakato nikajua twafa
 
Msajili wa Vyama Vya Siasa Jaji Mutungi anesema mchakato wa Katiba mpya hautatekwa na Wanasiasa

Mutungi amesema Vyama Vya Siasa ni Sehemu tu ya Jami ya Watanzania hivyo mchakato utabalansisha makundi Yote yanayounda Jamii au Taifa la Tanzania

Source: Mwananchi
Kwanini wasitumie ile katiba ya warioba?

Au ndio mwendo wa kupeana ulaji?
 
Back
Top Bottom