Tetesi: Mbowe, Tundu Lissu, Zitto Kabwe na Prof. Lipumba kuhudhuria Sherehe za mapokezi ya Ndege ya kwanza ya Mizigo JNIA

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,038
Taarifa kutokea wizarani pale Uchukuzi zinasema Viongozi Wakuu wa Vyama Vya Siasa wamealikwa katika Sherehe za Mapokezi ya Ndege ya kwanza ya Mizigo Boeing 767-300F

Miongoni mwa Wanasiasa maarufu watakaokuwepo ni Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe na msaidizi wake Tundu Antipas Lissu, KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba Bila kumsahau Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo

Jumaa kareem!
 
1. Takataka zingine wacha ziende, Mbowe, Lissu wakiende wataninyongonyeza sana.

2. Zitto ni mwenzangu na dini, sioni jabu

3. Lipumba ni takataka za CCM
 
Back
Top Bottom