Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

John Mongela ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, mkoa ambao umejaa rushwa kuanzia juu mpaka chini. Mkoa wa Arusha kila kukicha zinaibuliwa tuhuma za rushwa na ufisadi kiasi cha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Zitto amegoma kukosoa content za mkataba alichoona yeye ni mjadala wa Bunge kwamba ndiyo mara Kwanza. Lakini hataki pia kutuambia kinachokwenda bungeni ni Muswada, sheria au mkataba...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema chama chake hakitatoa tamko lolote kuhusu habari ya kuuzwa kwa bandari za Tanganyika kwa mwarabu wa Dubai kwa sababu ni 'HABARI ZA KUBUMBA'...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Sitaki kuongeza neno lolote zaidi ya kutambulisha. Naomba, kwa heshima na taadhima, sikiliza haya maneno ambayo hayakukanushwa ndipo uamue. Je, tumefikaje hapa?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ubinafiswaji kwangu naichukulia kama tabia ya wavivu. Bandari tuwape JKT waiendeshe. Kweli hatujui source of income kwetu ni ipi? Dah Mwafrika ni hasara kwa Mungu nahisi!! Miaka 60 ya uhuru...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Imeandikwa alio macho ataongezewa na sio nacgo hata kile kidogo atanyang'wanya . Huu utaratibu hakuna Kiongozi yeyote kwa waliomtangulia aliyeutumia, Kikwete na Ushikaji wake hakutumia hii staili...
7 Reactions
90 Replies
6K Views
Tulipo sema Kuna mtu anataka sifa ambazo baadae zitakuwa kilio kwa Taifa tulikuwa na uhakika yakuwa ndivyo itakavyokuwa. Haya sasa huko mpakani Holili Shehena ya mahindi imezuiwa magari zaidi 500...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
MCHANGO WA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) WAKATI AKICHANGIA MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA WA MWAKA 2022/2023 (THE FINANCE ACT, 2022) BUNGENI DODOMA 28 JUNI 2022 1.0...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hili Jiji la Dodoma na halmashauri yake ni moja ya sehemu iliyojaa Rushwa iliyokithiri viwango vya kawaida vya kupeana maji ya kunywa kishkaji, ni Jiji la hovyo likiongozwa na Mkurugenzi wake...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Mhe. Mpina nianze kukupongeza kwa michango yako kila Bunge linapokaa. Leo ulipokuwa unachangia kwenye bajeti ya Wizara ya Sheria na Katiba ulitoa hoja ambayo kila Mtanzania atakuunga mkono...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Jamani nina swali ambalo nadhani hata wabunge wetu wangejiuliza kabla ya kupitisha hili jambo. Na wasiangalie wao wanaishi sasa waangalie na watoto na wajukuu wajao wataishi vipi huko baadae...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Ukweli mchungu ni kwamba watu wa aina ya aliyekuwa Mkurugenzi Shinyanga mh Nassoro ni wachache na adimu kupatikana hapa Tanzania. Ni aina ya vijana ambao ukiniambia ni msomi nakuelewa vizuri...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Na Kabwe Z. Ruyagwa Zitto, Mb (Makala haya kwa sehemu kubwa yametokana na makala iliyoandikwa na mtu mwengine [....]. Mimi nimeiboresha tu Katika baadhi ya maeneo) Juzi Serikali imetangaza...
87 Reactions
335 Replies
37K Views
Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mzalendo Nambari moja Dkt. John Pombe Magufuli imetumia tsh bilioni 16 kukarabati shule 9 za Ufundi nchini Shule hizo ni pamoja na: Moshi Tech Arusha...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Hamad Abdallah ambapo wamejadiliana...
0 Reactions
2 Replies
714 Views
Watanzania wenzangu, mara chache sana nakuja kwenye hili jukwaa. Leo nilikaa na kufikiri sana. Nikaona nije na hili swali. Je, kipi ni bora kati ya Demokrasia na Utawala wa kifalme? Kwa Nchi...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Habari, Hayati Magufuli anatukanwa sana kuwa ni fisadi na mwizi, hebu watukanaji wake, mnitajie mkataba wowote ule wa kifasadi also wahi kufunga kipindi cha utawala wake? Pia unitajie ni...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Mbunge wa Zamani wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Baada ya kukaa zaidi ya saa 6 pale JNIA akisubiri Ndege ameitaka Serikali iwape Waarabu na ATCL. Bilionea Sugu amelalamika kupitia kurasa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu naomba wenye uelewa mpaka watujuzi Tanzania ni nchi huru yenye katiba yake. Katiba ya Tanzania ina sema Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa na bunge ni la vyama...
1 Reactions
5 Replies
857 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia Wakili Maarufu nchini mh Tundu Antipas Lissu amesema Ukiona Mkataba unapelekwa bungeni ukaridhiwe Ujue Mkataba huo una Athari kwa Sheria za nchi hivyo...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Back
Top Bottom