Kauli ya Naibu Spika kwa Waitara siyo ya kiungwana

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
386
765
Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".

Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.

Unapokuwa Bungeni unatakiwa uonyeshe kuwa wewe ni kiongozi unawaongoza watu kwa weledi. Kwa kitendo hiki anatakiwa amuombe radhi Waitara.
 
Huyo ndivyo alivyo. Ana ubabe sana!
Hata huyu aliambiwa akae chini

View: https://youtu.be/dd9y9m3rB2s?si=cAIV7eKwqmW19Rxj
 
Msiyemfahamu Zungu, hilo toto la Kiarabu la kariakoo, limekuwa na manunda wa Gerezani na mchikichini, enzi alizokulia huyo mitaa yake yote ni ubabe tu, ukiwa bwege bwege unaonewa, kama haitoshi, kutoka hapo akachaguliwa kwenda jeshini kutokea shule. X soldier huyo, wengi tunaomfahamu huyo Kariakoo tukawa tuna uhakika huyo ni mtu wa system. Enzi za Nyerere ukichaguliwa kwenda jeshini ili uwe "system" juwa huyo ni kipanga "multi-talented".

Sikilizeni vizuri lugha yake bungeni, hataki wala hapendi longolongo na amri zake zimekaa kijeshi na kibabe, zimechanganyika pamoja. Mtajaza wenyewe.

Zamani niliwaambia watu, huyo ni 99% "chizi kapewa rungu" msije mkashangaa siku akimwambia mbunge "we msenge kaa chini".

Huyu mimi naamini na uzee wake sasa hivi, ukimletea ujinga anakurukia kichwa.
 
Msiyemfahamu Zungu, hilo toto la Kiarabu la kariakoo, limekiwa na manunda wa Gerezani na mchikichini, enzi alizokulia huyo mitaa yake yote ni ubabe tu, ukiwa bwege bwege unaonewa, kama haitoshi, kutoka hapo akachaguliwa kwenda jeshini kutokea shule. X soldier huyo, wengi tunaomfahamu huyo Kariakoo tukawa tuna uhakika huyo ni mtu wa system. Enzi za Nyerere ukichaguliwa kwenda jeshini ili uwe "system" juwa huyo ni kipanga "multi-talented".

Sikilizeni vizuri lugha yake bungeni, hataki wala hapendi longolongo na amri zake zimekaa kijeshi na kibabe, zimechanganyika pamoja. Mtajaza wenyewe.

Zamani niliwaambia watu, huyo ni 99% "chizi kapewa rungu" msije mkashanga siku akimwambia mbunge "we msenge kaa chini".

Unamsifia mjinga mwenzio!
Kuwa mwarabu koko nayo sifa?
 
Unamsifia mjinga mwenzio!
Kuwa mwarabu koko nayo sifa?
Hilo ni toto la Kariakoo typical.

Kuwa toto la Kariakoo ni sifa kubwa sana, wageni wengi wa Dar kupitia hapo ni sifa kwao. Seuse waliozaliwa hapo.

Nyerere alipitia hapo, tena mtaa mmoja na Zungu, Aggrey Street, kabla ya hapo ukiitwa Stanley, sasa unaitwa Max Mbwana.

Mkapa alipita hapo. Kikwete alipita hapo, kijiwe kimoja na Zungu, Saigon.

Hata wewe siku ukija Dar, kama hujafika Kariakoo inakuwa hujafika Dar.
 
Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".

Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.

Unapokuwa Bungeni unatakiwa uonyeshe kuwa wewe ni kiongozi unawaongoza watu kwa weledi. Kwa kitendo hiki anatakiwa amuombe radhi Waitara.
Bado yupo ndani ya boksi huyo Tulyansha.Kila amuonapo mbunge aliyetokea ukinzani anadhani ni adui yake wakati wote wapo "Sisyemu" tu.
 
Huyo waitara ni mmoja kati ya wabunge wangese na taifa hili kwasasa halitaki mapopoma ya kifala kama huyo German shepherd aka 🐕. Waitara anaikandamiza Tz inunuliwe na DP world kisa kutafuta ubunge Rorya? Ningekuwa Mimi Zungu ningelipiga makofi kabisa jitu hovyo na mimacho yake kama majipu. Shiiit
Hapo sasa umekasirika. Zungu huyo, mzee wa Dubai DP World kishakunywa nae gahwa.
 
Hilo ni toto la Kariakoo typical.

Kuwa toto la Kariakoo ni sifa kubwa sana, wageni wengi wa Dar kupitia hapo ni sifa kwao. Seuse waliozaliwa hapo.

Nyerere alipitia hapo, tena mtaa mmoja na Zungu, Aggrey Street, kabla ya hapo ukiitwa Stanley, sasa unaitwa Max Mbwana.

Mkapa alipita hapo. Kikwete alipita hapo, kijiwe kimoja na Zungu, Saigon.

Hata wewe siku ukija Dar, kama hujafika Kariakoo inakuwa hujafika Dar.
Shangazi bado una ufala mwingi sana.Haujambo lakini?
 
Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".

Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.

Unapokuwa Bungeni unatakiwa uonyeshe kuwa wewe ni kiongozi unawaongoza watu kwa weledi. Kwa kitendo hiki anatakiwa amuombe radhi Waitara.

Ila nimeamini kuna watu mna moyo, yaani kweli unaweza kusikiliza hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura?!
 
Zungu hana uwezo wala hekima za kuwa na cheo cha Naibu spika. Hana tofauti sana na Ndugai. Wote ni watu wa hovyo.

Lakini wabunge wao ndio wameamua kuwa makondoo. Wangekuwa wanakerwa na tabia za Zungu basi wangemwondoa kwenye nafasi yake mapema tu.
 
Msiyemfahamu Zungu, hilo toto la Kiarabu la kariakoo, limekiwa na manunda wa Gerezani na mchikichini, enzi alizokulia huyo mitaa yake yote ni ubabe tu, ukiwa bwege bwege unaonewa, kama haitoshi, kutoka hapo akachaguliwa kwenda jeshini kutokea shule. X soldier huyo, wengi tunaomfahamu huyo Kariakoo tukawa tuna uhakika huyo ni mtu wa system. Enzi za Nyerere ukichaguliwa kwenda jeshini ili uwe "system" juwa huyo ni kipanga "multi-talented".

Sikilizeni vizuri lugha yake bungeni, hataki wala hapendi longolongo na amri zake zimekaa kijeshi na kibabe, zimechanganyika pamoja. Mtajaza wenyewe.

Zamani niliwaambia watu, huyo ni 99% "chizi kapewa rungu" msije mkashanga siku akimwambia mbunge "we msenge kaa chini".

Huyu mimi naamini na uzee wake sasa hivi, ukimletea ujinga anakurukia kichwa.
🤣🤣🤣🤣🙌
 
Back
Top Bottom