Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

katika maneno ambayo yanatia hasira , ni nikisikia mtu anasema eti tutapata faida , na kuimalisha uchumi wetu endapo tutawakubali DP World , ni uongo mtupu. kwenye gas ya mtwara mlisema maneno...
6 Reactions
19 Replies
616 Views
Kwa sasa tuna uhaba mkubwa sana wa watu wenye maono na fikra, wengi waliopo kwa sasa kizazi hiki ni wale ambao hawaijui kuwaza ya kesho na hawana maono ya kesho. Wao wanaiwaza leo tu na mawazo...
1 Reactions
7 Replies
583 Views
Waziri wa uchukuzi prof. Makame Mbarawa mambo yote anayohubiri kupitia sakata la mkataba wa bandari ni kupanda kwa pato la taifa kutoka 37%hadi 67% ambazo ni hisia zake mwenyewe, hapo yeye ameona...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Iringa. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka Watanzania wasikubali kupotoshwa kuhusu mkataba wa uwekezaji bandarini kwa sababu utakuwa na manufaa mengi ta Taifa...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC) linaishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya ongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uamuzi na...
0 Reactions
3 Replies
820 Views
Viongozi wa Simba kama mnakua na mambo yenu binafsi ya kujipendekeza, basi ingieni kwenye Siasa. Msilete Uchawa wa kijingajinga kwenye timu yetu. Msimu uliopita mlijifanya Wazalendo sana mkaacha...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hatimae Rais wa Zanzibar amepitimiza ahadi yake aliyotoa HIVI karibu wakati WA hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam HIJRIYYA Kwamba Serikali imo katika mchakato wakuifany Siku ya Mwaka mpya...
22 Reactions
122 Replies
11K Views
Ni sahihi kwa viongozi kuingia kwenye kikao cha Mhe. Rais bila diary wala note book? Au protokali ndio inataka hivyo? Na kama ni protokali mbona Mhe. Rais alikuwa busy kusikiliza na kuandika...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
SPIKA wa Bunge, Tulia Akson amewajia juu watanzania waosema bandari imeuzwa na kubainisha kuwa Mtu mpumbavu anazeeka na upumbavu wake. "Wako baba zangu, wako mama zangu, jambo la uhakika kama...
20 Reactions
178 Replies
17K Views
TAARIFA KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja wa wananchi waliojitokeza katika...
5 Reactions
372 Replies
76K Views
Mara kadhaa Serikali imesema Intergovernmental bilateral agreements sio mkataba wenye msingi wa kisheria na hivyo mikataba halisi ya utekelezwaji ndio inaanza na baada ya Kukamilika Serikali na DP...
4 Reactions
57 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ave Maria...
8 Reactions
225 Replies
34K Views
Mdude Nyagali, mmoja wa wazalendo waliokamatwa na polisi mamluki jana wakati wamemsindikiza Wakili Mwabukusi, bado angali anasota rumande kwa makosa yasiyofahamika. Bali taarifa zilizotufikia ni...
39 Reactions
159 Replies
9K Views
ninasikiliza mambo ambayo serikali na chama wanasema juu ya bandari najiuliza mambo mengi lakini kubwa sijui kama hawa watu wanaelewa maana ya kuongoza serikali ni nini yaani umeewa bandari...
2 Reactions
2 Replies
522 Views
Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika suala la kukodisha bandari zetu tujifunze kitu kimoja kikubwa. Kwamba taaluma ya sheria inapotumiwa na mafisadi ni hatari kama ukoma kwenye jamii. Siku moja tu imepita tumewasikia...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Tume ya Haki Jinai kushughulikia udhaifu uliopo katika ukamataji wa watuhumiwa, upelelezi, uendeshaji wa mashtaka pamoja na mambo mengine yanayofanyika magerezani...
0 Reactions
3 Replies
862 Views
Tusaidiene kutafakari wajuvi wa mambo, Juzi waziri wa afya alifika kisiwani Ukerewe kukagua hospital ya bomani kama inaweza kupandishwa kuwa hospital ya mkoa, pamoja na hospital ya kisiwani...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Nikimuangalia Khasim Majaliwa naona kwa kiasi kikubwa anaweza kuvaa viatu vya JPM hasa katika kuleta Nidhamu na Uwajibikaji kwa watendaji wa Serikali. Kwa tabia za watanzania wengi hasa watumishi...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Kufuatia tukio la mwanaume mmoja anaesemekana kuwa na mataizo ya akili kukata uume wake, ambapo toka tukio hilo limetokea mpaka baada ya matibabu waandishi wametoa taarifa zote juu ya hali yake...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom