CCM yasikitishwa, yaomba radhi kwa Bango lenye ujumbe wa Uchochezi Zanzibar

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
TAARIFA KWA UMMA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja wa wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya Sherehe za Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaomba radhi kwa ujumbe huo, kinapinga na kinakemea kabisa fikra, hisia na mitazamo yoyote yenye maudhui ya kibaguzi.

Ujumbe huo sio tu kuwa una maudhui ya kibaguzi bali pia unaenda kinyume kabisa na falsafa na Shabaha ya waasisi wa Mapinduzi hayo Matukufu ya mwaka 1964 na unapingana na misingi na itikadi ya CCM inayohimiza Umoja na Mshikamano wa Kitaifa.

Daniel Chongolo
Mkuu wa Mawasiliano na Umma CCM.
12/01/2016

CYf99RmWsAAHS_X.jpg
 
Last edited by a moderator:
Nimejikuta nakumbuka maneno haya ya enzi zile.

P.W.BOTHA,FORMER PRESIDENT OF SOUTH AFRICA, IN 1985 SAID THIS: "BLACKS CANNOT RULE THEMSELVES.GIVE THEM GUNS AND THEY WILL KILL EACH OTHER."

Akaendelea: "THEY ARE GOOD IN NOTHING ELSE BUT IN MAKING NOISE,DANCING,MARYING MANY WIVES AND INDULGING IN SEX."
 
Last edited:
TAARIFA KWA UMMA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja wa wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya Sherehe za Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaomba radhi kwa ujumbe huo, kinapinga na kinakemea kabisa fikra, hisia na mitazamo yoyote yenye maudhui ya kibaguzi.

Ujumbe huo sio tu kuwa una maudhui ya kibaguzi bali pia unaenda kinyume kabisa na falsafa na Shabaha ya waasisi wa Mapinduzi hayo Matukufu ya mwaka 1964 na unapingana na misingi na itikadi ya CCM inayohimiza Umoja na Mshikamano wa Kitaifa.

Daniel Chongolo
Mkuu wa Mawasiliano na Umma CCM.
12/01/2016
Wekeni ujumbe wa hilo bango,wengine hatujatizama TV wakati mapinduzi yanaadhimishwa!!!!
 
TAARIFA KWA UMMA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja wa wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya Sherehe za Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaomba radhi kwa ujumbe huo, kinapinga na kinakemea kabisa fikra, hisia na mitazamo yoyote yenye maudhui ya kibaguzi.

Ujumbe huo sio tu kuwa una maudhui ya kibaguzi bali pia unaenda kinyume kabisa na falsafa na Shabaha ya waasisi wa Mapinduzi hayo Matukufu ya mwaka 1964 na unapingana na misingi na itikadi ya CCM inayohimiza Umoja na Mshikamano wa Kitaifa.

Daniel Chongolo
Mkuu wa Mawasiliano na Umma CCM.
12/01/2016
Utaje huo ujumbe tuujue
 
No way.....kuweni specific.Bango halikubebwa na Mwanachi mmoja bali lilibebwa na Mwanachama wa CCM akiwa mbele akiongoza wengine huku akiwa amevaa sare za ccm.Kwani kabla ya kuanza maandamano hawakukaguwa mabango au kila mtu alikuwa anaandika atakavyo...????hapo inaonesha wako dis organized....SHAME.....SHAME....SHAME...hii ni dhambi mbaya saana na itawatafuna milele.Mzee Karume muasisi wa mapinduzi aliowa Muarabu wakajaaliwa watoto machotara sasa leo anatukanwa.NO.....NO....NO.
 
TAARIFA KWA UMMA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesikitishwa sana na ujumbe wenye maudhui ya ubaguzi ulioandikwa kwenye moja ya Bango lililobebwa na mmoja wa wananchi waliojitokeza katika maadhimisho ya Sherehe za Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaomba radhi kwa ujumbe huo, kinapinga na kinakemea kabisa fikra, hisia na mitazamo yoyote yenye maudhui ya kibaguzi.

Ujumbe huo sio tu kuwa una maudhui ya kibaguzi bali pia unaenda kinyume kabisa na falsafa na Shabaha ya waasisi wa Mapinduzi hayo Matukufu ya mwaka 1964 na unapingana na misingi na itikadi ya CCM inayohimiza Umoja na Mshikamano wa Kitaifa.

Daniel Chongolo
Mkuu wa Mawasiliano na Umma CCM.
12/01/2016
Kimekusikitisheni kitu gani wakati ujinga huo ndio mnaowafundisha wanachama wenu, mnawafundisha ubaguzi na kusamabaza chuki.
 
n
Kwa nini hawakukemea tokea Jana wakati wa maandamano baada ya watu kusema ndio wanaona makosa!
ndio wamesema leo. bila shaka hawachelewa. ni dhahiri ccm sio chama cha
kikaburu ndio maana walipinga usultani unguja na ukaburu afrika ya kusini kwa kuwabagua waafrika.
 
Hii sera ya ubaguzi ipo na ilianza kuota mizizi hadi sasa .kama mnakumbuka dk. SALIM AHMED SALIM alipotaka kugombea uraisi wa tanzania ,wajumbe kutoka zanzibar walimpinga walisema ni muarabu na akatoswa .na wala hawakuulizwa kama huo ulikua ni ubaguzi .lakini marekani wazungu walimchagua obama muafrica .hii kuomba radhi ni unafiki uliotukuka .
 
Back
Top Bottom