Sasa Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam ni Siku ya mapumziko rasmi Zanzibar

dega

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
3,138
3,022
Hatimae Rais wa Zanzibar amepitimiza ahadi yake aliyotoa HIVI karibu wakati WA hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam HIJRIYYA Kwamba Serikali imo katika mchakato wakuifany Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam kuwa siku ya mapumziko Sawa na mwaka mpya wa Miladiya

Akitangaza Leo tarehe 5/8 katika Msikiti Quba uliopo Kwa Boko mjini hapa ametangaza Rasimi kwamba Serikali imeridhia kuifanya siku hiyo kuwa na ya Mapumziko kama ulivyo Ile ya Miladia ambapo siku ya tarehe mosi ya kila mwaka NI Mapumziko

Hivyo Rasmin kila tareha 1 MUHARRAM ya kila mwaka itakua ni siku ya Mapumziko

HONGERA DR MWINYI
HONGERA OFISI YA MUFTI
HONGERA WAZANZIBARI
 
Zanzibar inaenda kuwa full Islamized
Mpaka sasa ni rasmi

1. marufu kula mchana Ramadhani,

2.kwenda kuhiji Serikali inalipia,

3. Kujenga makanisa ni marufuku

4.mwaka mpya wa Kiislamu ni public holiday,

nasubiri kusikia Ijumaa na Jumamosi ndio siku za mapumziko, Jumapili watu waende kazini
 
Mambo ya kijinga kabisa haya. Badala waongeze siku za kufanya kazi wanazipunguza. Hata kwa madawa na chakula tu hawajitoshelezi halafu bado wanataka wale bata.
Mainlanders will cover their expenses kwani walisha maliza kutulipa deni la umeme?
 
Kila mtu anatambua idadi kubwa ya watu wa nchi ya Zanzibar ni Waislamu. Hivyo basi imani ya dini hii ni lazima huwagusa moja kwa moja watu wengi kijamii na kiutamaduni.

Ni vyema kabisa kuadhimisha sikukuu muhimu za dini hii kuwa ni siku za mapumziko ikiwemo hata siku ya Ijumaa. Ila zile siku zenye kuendana na imani ya dini nyingine, hasa za Kikristo, mathalani Pasaka na Jumapili itawapasa kuzifanya kuwa ni siku za kazi kama kawaida. Lakini watu wa imani hizi wapewe mapumziko ambayo watayafidia siku za Ijumaa.
 
Mtangaze tu kuwa zanzibar ni islamic state
Marufuku kutembea bila hijab
Marufuku wanawake kuendesha magari
Vilevi viwe na kibaki maalumu
Marufuku kufuga nguruwe nchini humo isipokuwa kwa ajili ya utafiti n.k
 
Hatimae Rais wa Zanzibar amepitimiza ahadi yake aliyotoa HIVI karibu wakati WA hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam HIJRIYYA Kwamba Serikali imo katika mchakato wakuifany Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam kuwa siku ya mapumziko Sawa na mwaka mpya wa Miladiya

Akitangaza Leo tarehe 5/8 katika Msikiti Quba uliopo Kwa Boko mjini hapa ametangaza Rasimi kwamba Serikali imeridhia kuifanya siku hiyo kuwa na ya Mapumziko kama ulivyo Ile ya Miladia ambapo siku ya tarehe mosi ya kila mwaka NI Mapumziko

Hivyo Rasmin kila tareha 1 MUHARRAM ya kila mwaka itakua ni siku ya Mapumziko

HONGERA DR MWINYI
HONGERA OFISI YA MUFTI
HONGERA WAZANZIBARI
Mtu alie mshauri amemshauri ili amwingize mwenzake huku chaka maana ni mshabiki wa habari hizo au ameamua kujilipua maana mwisho wa uongoz wake utakuwa zanzibar bara ataisikia ktk ndoto kwa maamuz amefanya.
 
Hatimae Rais wa Zanzibar amepitimiza ahadi yake aliyotoa HIVI karibu wakati WA hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam HIJRIYYA Kwamba Serikali imo katika mchakato wakuifany Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam kuwa siku ya mapumziko Sawa na mwaka mpya wa Miladiya

Akitangaza Leo tarehe 5/8 katika Msikiti Quba uliopo Kwa Boko mjini hapa ametangaza Rasimi kwamba Serikali imeridhia kuifanya siku hiyo kuwa na ya Mapumziko kama ulivyo Ile ya Miladia ambapo siku ya tarehe mosi ya kila mwaka NI Mapumziko

Hivyo Rasmin kila tareha 1 MUHARRAM ya kila mwaka itakua ni siku ya Mapumziko

HONGERA DR MWINYI
HONGERA OFISI YA MUFTI
HONGERA WAZANZIBARI
Kwahiyo ni lini tukilinganisha na tarehe hizi tulizozoeshwa?
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom