Majaliwa akiwa Rais ataleta nidhamu na Uwajibikaji . Anafaa sana

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,342
4,801
Nikimuangalia Khasim Majaliwa naona kwa kiasi kikubwa anaweza kuvaa viatu vya JPM hasa katika kuleta Nidhamu na Uwajibikaji kwa watendaji wa Serikali. Kwa tabia za watanzania wengi hasa watumishi wa uma/Serikali wasipojengewa hofu ya kuwajibishwa basi huzembea, huiba, hufanya kwa ufanisi duni nk.

Nakumbuka Kipindi cha Nyerere kulikuwa na Nidhamu kubwa sana kwa watumishi wa Uma/ Serikali, japo tunawasifia watumishi wa kipindi hicho cha Nyerere kuwa walikuwa ni wazalendo lakini ninaamini wengi walikuwa wanamuogopa sana Nyerere na System iliyokuwepo kipindi hicho ambayo ilikuwa haina simile kwa uzembe wowote ule.

Ikaja zama za Magufuli, ingawa alikuwa na mapungufu yake lakini kati ya mazuri aliyokuwa nayo ni Uthubutu wa kuwawajibisha watumishi na watendaji wazembe, JPM alikuwa hana dogo inapokuja suala la uwajibikaji wa mtu na alikuwa haangalii huyu ni nani au watu watasema nini. HII ILIPELEKEA WATENDAJI WENGI KUWA MAKINI SANA KWA KUMUHOFIA JPM. Japo wapo wanaokosoa ubabe wake na kuwajengea hofu watendaji lakini tunatakiwa kujua AINA YA JAMII HII YETU, KWA KIASI KIKUBWA SIO JAMII YENYE UAMINIFU NA UADILIFU HASA LINAPOKUJA SUALA LA MALI AU JUKUMU LA UMA.

NATAMANI NCHI YETU IFIKE HATUA KUWA UKIUKWAJI WOWOTE AU UZEMBE WOWOTE USIWE UNAPEWA NAFASI YA PILI. MTUMISHI AWAJIBISHWE/TENGULIWA ON THE SPOT PASIPO KUONYWA AU KUHAMISHWA. Tufanye kama wenzetu Weupe huko nje ambapo unapokosea/zembea/kiuka then automatically you will be fired.

Hivyo kwa Mawaziri tulionao namuangalia Majaliwa namuona ni mtu anayeweza KULETA NIDHAMU NA UWAJIBIKAJI KWA WATENDAJI WA SERIKALI, YUPO MAKINI SANA NA HANA SIMILE. Najua atakuwa na Mapungufu yake lakini ana Mengi MAZURI NA YENYE TIJA KATIKA UONGOZI. MWINGINE NI WILLIAM LUKUVI NAMUONA PIA KAMA ALIFAA SANA KUWA WAZIRI MKUU BAHATI MBAYA UMRI UMESHAKWENDA.

Kuna mengi yanayoendelea na ukifanya assessment unapata jibu kuwa WATUMISHI/WATENDAJI WAMEJIACHIA NA HAWANA HOFU.

Mfano mdogo tu ni hali ya miundombinu ya barabara hasa jijini Dar ambapo kuna barabara za vumbi na nyingine zinatengenezwa kwa kusuasua sana tena chini ya kiwango, yote hii ni Waziri pamoja na watendaji wa TANROAD kufanya watakavyo.

Jana pia nakumbuka nilikuwa Kariakoo jioni pale stand ya Mwendokasi (gerezani) kulikuwa na abiria zaidi ya 300 nikakuta watu wanalalamika kuwa huduma ya choo mle ndani imefungwa kwasababu Maji yamekwisha, yaani SIMPLE LIKE THAT, haya ni madogo sana na hawezi kuhusika Rais wala Waziri bali ni level ya watendaji wenyewe wa DART lakini kwavile HAWANA HOFU YA KUWAJIBISHWA NDIO HIVYO TENA
 
Nakubaliana nawe kuhusu uwajibikaji katika Awamu hii umeshuka sana. Viongozi wanatanguliza maslahi binafsi.

Kinachoendelea sasa hivi kuhusu, wananchi kulalamikia mkataba wa ushirikiano kuendeleza bandari, ni moja ya mlolongo wa malalamiko hayo, yanayotikisa uhai wa kisiasa wa CCM, kwa mfano:
1) Ubadhirifu kwenye ripoti ya CAG.
2) Tozo za benki na miamala ya simu
3) Mikataba ya uwekezaji kwenye rasimali za Taifa
4) Misaada na mikopo kutumika isivyokusudiwa
5) Miradi ya mikakati kutokukamilika kwa wakati, nk
 
Nikimuangalia Khasim Majaliwa naona kwa kiasi kikubwa anaweza kuvaa viatu vya JPM hasa katika kuleta Nidhamu na Uwajibikaji kwa watendaji wa Serikali. Kwa tabia za watanzania wengi hasa watumishi wa uma/Serikali wasipojengewa hofu ya kuwajibishwa basi huzembea, huiba, hufanya kwa ufanisi duni nk.

Nakumbuka Kipindi cha Nyerere kulikuwa na Nidhamu kubwa sana kwa watumishi wa Uma/ Serikali, japo tunawasifia watumishi wa kipindi hicho cha Nyerere kuwa walikuwa ni wazalendo lakini ninaamini wengi walikuwa wanamuogopa sana Nyerere na System iliyokuwepo kipindi hicho ambayo ilikuwa haina simile kwa uzembe wowote ule.

Ikaja zama za Magufuli, ingawa alikuwa na mapungufu yake lakini kati ya mazuri aliyokuwa nayo ni Uthubutu wa kuwawajibisha watumishi na watendaji wazembe, JPM alikuwa hana dogo inapokuja suala la uwajibikaji wa mtu na alikuwa haangalii huyu ni nani au watu watasema nini. HII ILIPELEKEA WATENDAJI WENGI KUWA MAKINI SANA KWA KUMUHOFIA JPM. Japo wapo wanaokosoa ubabe wake na kuwajengea hofu watendaji lakini tunatakiwa kujua AINA YA JAMII HII YETU, KWA KIASI KIKUBWA SIO JAMII YENYE UAMINIFU NA UADILIFU HASA LINAPOKUJA SUALA LA MALI AU JUKUMU LA UMA.

NATAMANI NCHI YETU IFIKE HATUA KUWA UKIUKWAJI WOWOTE AU UZEMBE WOWOTE USIWE UNAPEWA NAFASI YA PILI. MTUMISHI AWAJIBISHWE/TENGULIWA ON THE SPOT PASIPO KUONYWA AU KUHAMISHWA. Tufanye kama wenzetu Weupe huko nje ambapo unapokosea/zembea/kiuka then automatically you will be fired.

Hivyo kwa Mawaziri tulionao namuangalia Majaliwa namuona ni mtu anayeweza KULETA NIDHAMU NA UWAJIBIKAJI KWA WATENDAJI WA SERIKALI, YUPO MAKINI SANA NA HANA SIMILE. Najua atakuwa na Mapungufu yake lakini ana Mengi MAZURI NA YENYE TIJA KATIKA UONGOZI. MWINGINE NI WILLIAM LUKUVI NAMUONA PIA KAMA ALIFAA SANA KUWA WAZIRI MKUU BAHATI MBAYA UMRI UMESHAKWENDA.

Kuna mengi yanayoendelea na ukifanya assessment unapata jibu kuwa WATUMISHI/WATENDAJI WAMEJIACHIA NA HAWANA HOFU.

Mfano mdogo tu ni hali ya miundombinu ya barabara hasa jijini Dar ambapo kuna barabara za vumbi na nyingine zinatengenezwa kwa kusuasua sana tena chini ya kiwango, yote hii ni Waziri pamoja na watendaji wa TANROAD kufanya watakavyo.

Jana pia nakumbuka nilikuwa Kariakoo jioni pale stand ya Mwendokasi (gerezani) kulikuwa na abiria zaidi ya 300 nikakuta watu wanalalamika kuwa huduma ya choo mle ndani imefungwa kwasababu Maji yamekwisha, yaani SIMPLE LIKE THAT, haya ni madogo sana na hawezi kuhusika Rais wala Waziri bali ni level ya watendaji wenyewe wa DART lakini kwavile HAWANA HOFU YA KUWAJIBISHWA NDIO HIVYO TENA
Majaliwa yupi huyu huyu Muongo au unazungumzia mwingine???
 
Ameacha uongo?
 
Haiwez kuwa sawa yeye ndiye mtendaj mkuu wa serikali lakin amejawa na uongo sana kwenye suala la magufuli alisema uongo bado kwenye bandari pia hvyo huyo siyo kiumbe wa kuaminiwa...., ua tuseme nae anamuogopa nani kama Mama???
 
OK, tupate kiongozi yupi basi kwa waliopo baada ya Mama atakaleta nidhani na uwajibikaji kama Kipindi cha Nyerere na JPM. Mimi nimemtaja Majaliwa kwasababu kuna kipindi alionekana hataki ubabaishaji na ni mkali hivyo huenda akiwa na full mandate atafanya vema sana. Mwingine niliyemkubali sana kuwa ni mtu wa kazi asiyependa blahblah ila kazi, ufuatiliaji na uwajibikaji ni LUKUVI. Mnyonge mnyongeni ila Lukuvi alikuwa Kiongozi wa Mfano sana na sifa kubwa aliyonayu ni mfuatiliaji wa jambo na mwenye kutafuta UFUMBUZI WA CHANGAMOTO. Ni mtu wa field zaidi na sio wakukaa kuletewa ofisini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom