"Mheshimiwa Rais kwenye bajeti ya mwaka 2023-2024 amesema, Mfanyabiashara yeyote anayedaiwa kodi kwamba hajalipa TRA ni marufuku kumfungia biashara yake. Hii itumike kwa Wavuvi, Mvuvi ambaye...
Napenda kuwataarifu kuwa Tozo zilizofutwa ni Kwa miamala ya kutuma pesa pekee
Mfano umeweka pesa kwa Wakala na umahitaji kufanya transfer kwa nature ya maumala huo Hauna Tozo
Ila ukienda Kwa...
Habari JF,
Binafsi sitachoka kuinyooshea kidole CCM kwa matatizo na maendeleo duni ya Taifa hili mbali na Tanzania kujaliwa maliasili nyingi sana.
CCM imetuaminisha kwamba hatuwezi fanya...
Then baada ya mwisho wa kuchimba deposits za mafuta, zitakuwa zimeisha sasa wanatengeneza mikataba ya kilaghai ili ku meet future economic demands maeneo mbali mbali ili kupata future ecomonic...
Wamejaribu kutumia kila kete kunusulu ulaji wao lakini wapi! Mama Yuko strong kwenye uwekezaji Huwa hayumbishwi kabisa.
Wamejaribu kumtumi Shivji akahit lkini upepo umeshakata.
Wamemtumi slaa...
Utalii wa wanyama ni moja ya vivutio vya mwisho kabisa kupendwa na na watalii weng Duniani.
Utalii wa fukwe ni utalii mkubwa sana Dunuani na hapo ndipo Zenji.wanaweza piga bao Bara. Shida Bara...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mikutano ya hadhara mkoani Dar es Salaam , Taarifa za siri za Chama hicho chenye Wanachama wengi zaidi nchini Tanzania ( kwa mujibu wa...
Kwanini wizara mpya ya uwekezaji imepelekwa ikulu? Kwanini isingeachwa huko nje ya ikulu...?
Tundu Lissu aliwahilalamika takriban mwezi 1 nyuma akihoji kwanini idara ile nyeti (jiongeze kujuwa...
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Vyama 6 vya Siasa vyenye Sifa ya kupata Ruzuku ya Serikali vimepokea Jumla ya tsh 17.5 bilioni
Vyama hivyo sita ni Chadema, ACT wazalendo, NCCR mageuzi, CUF, CCM...
Kwanza nimpongeze Mh Waziri kwa kusikiliza na kuondoa kero ya tozo kwa wananchi, hapa napo Mh umepigwa mwingi,super bravo 💪
Kama kiongozi wa serikali hua anategemea sana mawazo ya wabunge katika...
Tunakumbushana tu
Duniani kote Katiba mpya haitengenezwi na Watu wanaokusanyika kwenye Ukumbi mkubwa na kulipana Posho kubwa kubwa
Katiba mpya huletwa na Msukuma wa Wananchi waliojawa Nguvu ya...
Kafulila ahama NCCR, ahamia Chadema
Dar es Saam. Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi) David Kafulila, amekihama chama hicho huku akieleza kuwa anajiandaa kuhamia Chadema.
Kafulila...
Kwa jinsi mkataba ulivyo DP World watakodisha makampuni mengine ...ambayo yamejificha kama DP world associates ndani ya mkatabq kufanya shughuli bandarini na kulipwa fedha makampuni kama Adan...
Kwenye mapendekezo ya bajeti Kwa mwaka wa fedha 2023/2024 baadhi ya tozo kama ile tozo ya kwenye miamala ambayo ni kilio Cha wanyonge wengi na Ile Kodi ya 'store' iliyopelekea mgomo Kariakoo...
Wanabodi,
Hii ni makala ya Jumapili ya Leo
Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea na makala elimishi za kuijua Jumuiya ya Afrika Mashariki, leo ni makala elimishi kuhusu kulijua Bunge la Afrika...
Ama kwa hakika.
Kizuri hakidumu.
Tanzania tunaendelea kumkumbuka Rais Bora kabisa tuliopewa na Mungu kama zawadi.
Ameacha alama ambayo Afrika na Dunia nzima bado wanaendelea kumuenzi...
Wakuu; kwa kujua au kutokujua, kwa makusudi au kwa bahati mbaya kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu hasa ni akina nani waliodai Uhuru wa Taifa letu Tanganyika.
Mh. Rais Kikwete leo kaweka...
Wakuu,
Muda si mrefu tutaweza kwenda Live kutokea Monduli ambapo Mhe. Lowassa (Waziri Mkuu aliyejiuzulu) atakapoongea na vyombo vya habari. Tumefanikiwa kupenyeza mtu hivyo tutaweza kuwaletea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.