Kwenye Mjadala wa Wazi wa Bandari Club House unaoendeshwa na chaneli ya Msemaji Mkuu wa Serikari sasa hivi mambo yamekuwa moto.
Msigwa akipigwa swali gumu tu anamwambia aliyeuliza ajifunze kuwa...
Mwanasheria mkuu wa serkali kaogopa mkate wake usimponyoke
Ameamua kujibu kama Tundu lissu
Sioni mkataba wa miaka 100
Hakuna mkataba usiovunjika
Hakuna mkataba uliosaniwa
Mwanasheria ameongea...
Matabaka na % ya sensa
No 1 -Chama madarakani na marafiki 1%
No 2-Watumishi serikalini, sekta binafsi wenye hadhi na 2% ushawishi wa fedha
No 3-Wananchi wa kawaida 97%
Hawa namba 1wanahodhi...
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema Mwaka 2006 DP World walimrubuni Rais George Bush wa Marekani ili waweze kuendesha Bandari za USA lakini Bunge likamkatalia Bush na DP World...
Bunge ndio sehemu ya wawakilishi wa wananchi, Serikali haiwezi kupokea maoni ya mtu mmoja mmoja kutoka nchi nzima kuhusu suala hili la Bandari.
Kwenye kujadili mkataba, ni wajibu wa Mbunge kupata...
Katika Clubhouse inayoendelea kuhusu mjadala wa Bandari unaoongoza na Habari Maelezo, huku moderator akiwa ni Peter Msigwa, hali imekuwa tete baada ya Peter Madeleka kutaka kuuliza swali ambapo...
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Zanzibar haijahusishwa kwenye Mkataba wa DP World kutokana na masuala mbalimbali ikiwemo ugumu wa utelekezaji wa suala hili upande huo.
Salum amesema japokuwa...
Kaimu Mkenyenge ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa TASAC amesema Serikali imekuwa inawekeza fedha nyingi bandarini kila mwaka lakini faida inayopatikana ni ndogo.
Amebainisha kuwa uchumi wa sasa wa...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema sio lazima kwa sasa kuwapekeka vijana nje kujifunza ujuzi unaohusu uendeshaji wa Bandari.
Amesisitiza kuwa Unaweza kuwapeleka vijana huko, lakini...
Ndugu zanguni, naomba tuungane kuwapa pole Walimu, Madaktari na Watumishi wengine wa umma wa hali ya chini.
Serikali imeweka Matabaka makuu mawili ya Watumishi wa umma.
1. Walimu, Madaktari na...
Maeneo ambayo Serikali imeelewana kushirikiana na DP World ni yale yanayohusu Bandari pekee.
Mkataba hautahusu mambo mengine nje ya Bandari ikiwemo usafiri.
Kazi hizo ikiwemo za usafirishaji...
Nasikiliza mjadala unaondelea unahusu DP World huko Club House kwa kweli comment zote zinakataa uwepo wa Muwekezaji huyo kutoka Dubai kupewa bandari yetu, sijui kwa nini Serikali bado imekomaza...
Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Bora kukopa China na...
Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama amewataka Vijana wa Kitanzania kuchangamkia fursa za kuuza Chakula Arabuni kwa Sababu kule ni Jangwani
Mchungaji Kimaro alimkaribisha mchungaji Masanja kutoa...
Hizi taasisi za Serikali kutana nazo sabasaba au Nane nane uone zinavyo toa customer care ya first class, na baada ya hapo sasa wafuate offisini uone hizo nyodo zao na dharau zao na majivuno na...
Wasalaam.
Kupitia wimbi la Ubinafsishwaji wa Bandari, kumeibuka na makundi kadhaa. Lakini kuna huyu anayejiita Sheikh Mwaipopo.
Kwanza, wakati wa uongozi wa awamu ya tano kuna mtu aliyejiita...
James Mbatia uko wapi? Hii ndio fursa Yako ya kutia neno kwenye Sakata la Bandari na DP World Ili kujisafisha Kisiasa.
Mara ya mwisho ulifukuzwa NCCR Mageuzi
Nakumbuka wewe ndiye ulishikia bango la tozo za miamala ya simu. Ukashawishi serikali na bunge kuanzisha tozo hizo bila kujali maisha duni ya Watanzania wengi huku ukiweka mbele maslahi yako...
Maendelea hayana Chama,Vijana changamkieni fursa ,mapesa ndio hayo hapo Sasa..
My Take
Vijana Msipotoka awamu hii ya Rais Samia mjue ndio basi tena maana mnajua wale wengine ambavyo Huwa wako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.