Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Amtaka Waziri Makamba Achape Kazi na Kupuuza Maneno

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemfunda na kumpa SoMo Waziri wa Nishati January Makamba Kwa kumwambia Achape Kazi na apuuze maneno ya wasiojielewa..

Safi sana kumbe Serikali inajua Waziri Makamba anashambuliwa na watu wenye chuki binafsi..

Iyo kauli ipo na baraka zote, kutoka juu, ila sio ya kwanza kuisikia hata , yule Gavana ambae alikua Dar aliambiwa chapa kazi, na ndipo kichwa kilivimba sana, yana mwisho tu,
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemfunda na kumpa SoMo Waziri wa Nishati January Makamba Kwa kumwambia Achape Kazi na apuuze maneno ya wasiojielewa..

Safi sana kumbe Serikali inajua Waziri Makamba anashambuliwa na watu wenye chuki binafsi..

Hii ni lugha ya kawaida serikalini, Waziri Mkuu kusema chapeni kazi, sbb imesemwa kwenye Wizara ya Nishati anayoongoza Makamba na W/Mkuu anajua Makamba anachukiwa sana ndio maana imekuwa habari ya kuandika..

Chapeni kazi, kutoka kwa Mh. Rais au Waziri Mkuu ni lugha ya kawaida kuwatia moyo watumishi wa Umma.
 
Ma rope ni timu Msoga.
Na PM ni un identified
Na yeye PM ni timu Msoga,JK si ndiyo alimtoa kwenye ualimu akampa ukuu wa Wilaya kule Urambo na baadaye 2015 akapewa Jimbo la Rwangwa na kuwa Naibu Waziri TAMISEMI.
Kwa kifupi Samia na Majaliwa JPM alichomekewa kuwateua.Ata Philip Mpango ni mtu wa JK.
 
Hata Jpm alikuwa timu Jk.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemfunda na kumpa SoMo Waziri wa Nishati January Makamba Kwa kumwambia Achape Kazi na apuuze maneno ya wasiojielewa..

Safi sana kumbe Serikali inajua Waziri Makamba anashambuliwa na watu wenye chuki binafsi..
Kwa ground vitu ni different!
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemfunda na kumpa SoMo Waziri wa Nishati January Makamba Kwa kumwambia Achape Kazi na apuuze maneno ya wasiojielewa..

Safi sana kumbe Serikali inajua Waziri Makamba anashambuliwa na watu wenye chuki binafsi..

Mwenye job description ya waziri mkuu wa Tanzania atuwekee humu.
Maana naona anaingiliaga kazi za wizara mbalimbali.
 
Back
Top Bottom