Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
Naomba tukumbushane, mwaka 2015 Kikwete alisaini mkataba wa kichief mangungo kama huu wa DP World na kampuni Symbioni ya Marekani, mkataba ambao haukua na exit clause, mkataba uliowapa Symbion haki zote na upendeleo wote walioutaka.
Mwaka 2016 Magufuli alipoona mkataba kati ya serikali na Symbion ni wa ki chief magungo wa Msovero, aliewapa Wajerumani haki zote juu ya Morogoro, Magufuli akauvunja, mkataba haukua na exit clause, mkataba ulitaka Symbion ndio waamue wanachotaka na wanakitaka lini, serikali haikua na haki zozote.
Mikataba ya kichief Magungo ya kuwapa wawekezaji haki zote na upendeleo wote wanaohitaji husainiwa kwa kigezo cha uwekezaji na ukipinga inaonekana unapinga uwekezaji.
Mikataba ya aina hii hua ni kiashiria cha wazi kabisa kwamba kuna mlungula mkubwa sana umetembezwa na wawekezaji, hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kutia saini mkataba wenye terms and conditions za namna ile ya DP World ana Symbion.
Watanzania tujiandae kuja kulipa mabilioni ya shilingi kwa DP World miaka michache ijayo.

‘Who was involved in Symbion Power contract termination?’ queries legislator
Tanzania lost a case against Symbion Power, and won an award at the international arbitrator
www.thecitizen.co.tz