Rais kutoka Zanzibar haiji kutokea tena

Rais kutoka Zanzibar haiji kutokea tena

DOMA

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Posts
944
Reaction score
367
Wana jf
kwanza habari za jumapili?

Leo nimependezwa kuandika kuhusiana na hili la rais kutoka pande za muuangano yaani Zanzibar au Tanganyika. Kwa kadri siasa ilivyo hivi sasa hapa nchini rais kutokea Zanzibar haiji kutokea na Mwinyi pekee atabaki rais wa kihistoria kwa wazanzibari.sababu

1. Mpaka sasa wapiga kura waliowengi ni watanganyika ambao ni milioni 43

2. Ushindani wa Ccm na Chadema ndio utasababisha kila chama kuchukua tahadhari dhidi ya mgombea wa kusimamisha

3. CCM zama za kuweka mgombea yeyote na akashinda zimekwisha

4. Wanasiasa Wazanzibar hawajulikani katika siasa za Tanganyika.

5. Katiba hailazimishi kwamba mgombea kuna wakati atatoka zanzibar

Nb najua ni habarh mbaya kwenu lakini ni ukweli mchungu na muwe tayari kuufia
 
Acheni kujidanganya, kama zanzibar ni sehemu ya upande wa pili wa muungano basi rais anaweza kutoka huko, rais hataweza kutoka huko kama zanzibar itakuwa si sehemu ya muungano, haya mambo ndio yanayopingwa na wazanzibar na kujiona kuwa wananyimwa haki zao za msingi.
 
Hata hili la mgombea mwenza kutoka upande tofauti wa muungano na mgombea naona kama linakinzana na misingi ya haki ya kikatiba.
 
Aliyeporwa haki zake ni mtanganyika. Zanzibar wamepungukiwa kitu gani?
 
Wazanzibari ndio motion movers wa muungano. Nyie mtabwabwaja tu. Alishindwa Nyerere mtaweza nyie?

Waacheni Wazanzibari wapumue kama vipi, muendelee na Tanganyika yenu yenye rasilimali zisizo na manufaa.
 
Acheni kujidanganya, kama zanzibar ni sehemu ya upande wa pili wa muungano basi rais anaweza kutoka huko, rais hataweza kutoka huko kama zanzibar itakuwa si sehemu ya muungano, haya mambo ndio yanayopingwa na wazanzibar na kujiona kuwa wananyimwa haki zao za msingi.

Hata baba wa taifa mwl nyerere angekuwa hai leo,kamwe asingeweza kumpigania mtu toka upande wa zanzibar kuwa rais wa jamhuri kwa hali ya kisiasa ilivyo na uelewa/weledi mkubwa walionao watanganyika kwa sasa,nafasi pekee iliyokuwepo kwa mzanzibar kuwa rais wa jamhuri ilikuwa mwaka 2005 kwa salim ahmed salim,angalau kwa wakati ule bado alikuwa anakubalika sana kama si mizengwe ya kundi la wanamtandao hakika salim angekuwa rais wa jamhuri 2005,labda niulize swali kwa wana jamvi;nini hasa kinachofanya baadhi ya watu kufikiri kwamba kundi la watu milioni moja(1m-wazanzibar)linaweza kutoa rais bora kuliko kundi la watu milioni 43(43m-watanganyika)?Tanganyika inafaidika vipi na muungano huu?hakika itakuwa muujiza wa karne kama itakuja kutokea huko mbele ya safari kupata rais wa jamhuri toka zanzibar kama muungano utaendelea kuwepo kwani nia wazi kila mwenye akili/kufikiri anaelewa wazi kura ya maoni ikiitishwa leo asilimia kubwa watasema hawaoni faida ya muungano;kwa pande zote;bara na visiwani.
 
Hii ni kweli kabisa, mzanzibari kuwa rais wa muungano kwa sasa ni ndoto.
 
Acheni kujidanganya, kama zanzibar ni sehemu ya upande wa pili wa muungano basi rais anaweza kutoka huko, rais hataweza kutoka huko kama zanzibar itakuwa si sehemu ya muungano, haya mambo ndio yanayopingwa na wazanzibar na kujiona kuwa wananyimwa haki zao za msingi.

Mkuu, ukubali kwamba chepeo ni chepeo na wala si kijiko kikubwa.
 
Hata hili la mgombea mwenza kutoka upande tofauti wa muungano na mgombea naona kama linakinzana na misingi ya haki ya kikatiba.
Kimsingi huo ndio MHIMILI wenyewe wa muungano. Makubaliano ya waasisi yalikuwa Rais akitoka Bara, Makamu wake NI LAZIMA atoke Visiwani and vice-versa. Hakuna kipengele kingine kinachohusu ama uongozi wa kisiasa au ajira kwa ujumla kiko clear au strict kama hicho. Nafasi nyingine tofauti za hizo (urais/makamu) ni "busara" tu za mwenyekiti ndizo huamua.

Otherwise, kinyume na hapo si tu kwamba ni kinyume cha Katiba bali utakuwa pia umegusa "HATI ZA MUUNGANO - ARTICLES OF THE UNION". Of course hao waasisi hawakuwa "miungu" but at least for the time being thats the situation hoping pengine Katiba Mpya ikaleta mabadiliko.
 
ingekuwa hawana nyodo na vijinenoneno vinavyokera laabda tungewafikiria, lakini sasa... hawa wazenj sina hamu nao kabsaa na hata huo muungano ni kero tu kwa watanganyika!
wangekuwa wapole na wasopenda vurugu tungewapa nafasi siku za usoni tena ungeshangaa hicho ndo kingekuwa kigezo kizuri kwa raisi anaestahiri.
 
Acheni kujidanganya, kama zanzibar ni sehemu ya upande wa pili wa muungano basi rais anaweza kutoka huko, rais hataweza kutoka huko kama zanzibar itakuwa si sehemu ya muungano, haya mambo ndio yanayopingwa na wazanzibar na kujiona kuwa wananyimwa haki zao za msingi.

Sio busara kutosikiliza maoni ya watu wachache lakini pia sio hekima kuendeshwa na ratio ya 1:43 yani watanganyika milioni 43 wanaamuliwa kwa usawa ule ule na wazanziabari milioni moja.
 
Hata baba wa taifa mwl nyerere angekuwa hai leo,kamwe asingeweza kumpigania mtu toka upande wa zanzibar kuwa rais wa jamhuri kwa hali ya kisiasa ilivyo na uelewa/weledi mkubwa walionao watanganyika kwa sasa,nafasi pekee iliyokuwepo kwa mzanzibar kuwa rais wa jamhuri ilikuwa mwaka 2005 kwa salim ahmed salim,angalau kwa wakati ule bado alikuwa anakubalika sana kama si mizengwe ya kundi la wanamtandao hakika salim angekuwa rais wa jamhuri 2005,labda niulize swali kwa wana jamvi;nini hasa kinachofanya baadhi ya watu kufikiri kwamba kundi la watu milioni moja(1m-wazanzibar)linaweza kutoa rais bora kuliko kundi la watu milioni 43(43m-watanganyika)?Tanganyika inafaidika vipi na muungano huu?hakika itakuwa muujiza wa karne kama itakuja kutokea huko mbele ya safari kupata rais wa jamhuri toka zanzibar kama muungano utaendelea kuwepo kwani nia wazi kila mwenye akili/kufikiri anaelewa wazi kura ya maoni ikiitishwa leo asilimia kubwa watasema hawaoni faida ya muungano;kwa pande zote;bara na visiwani.

weka mizani mbele ya macho yako. Pima faida za muungano zinaunyanyua upande wa hasara. Katika JMT Rais ni mmoja tu na atokee popote pale. Sasa hapo znz hawawezi wakawa na rais tena. Bali watakuwa na Wazi ri kiongozi wa Jmt anayeshughulikia mambo ya znz. Anaingia madarakani kama wapiga kura wengi-watanzania wazanzibari wakazi watamkubali.
 
ingekuwa hawana nyodo na vijinenoneno vinavyokera laabda tungewafikiria, lakini sasa... hawa wazenj sina hamu nao kabsaa na hata huo muungano ni kero tu kwa watanganyika!
wangekuwa wapole na wasopenda vurugu tungewapa nafasi siku za usoni tena ungeshangaa hicho ndo kingekuwa kigezo kizuri kwa raisi anaestahiri.

du anko usichanganyiwe sasa. JMT inanawir na itaendelea kunawir kwa mchango wa wa-zenj.
 
Hata baba wa taifa mwl nyerere angekuwa hai leo,kamwe asingeweza kumpigania mtu toka upande wa zanzibar kuwa rais wa jamhuri kwa hali ya kisiasa ilivyo na uelewa/weledi mkubwa walionao watanganyika kwa sasa,nafasi pekee iliyokuwepo kwa mzanzibar kuwa rais wa jamhuri ilikuwa mwaka 2005 kwa salim ahmed salim,angalau kwa wakati ule bado alikuwa anakubalika sana kama si mizengwe ya kundi la wanamtandao hakika salim angekuwa rais wa jamhuri 2005,labda niulize swali kwa wana jamvi;nini hasa kinachofanya baadhi ya watu kufikiri kwamba kundi la watu milioni moja(1m-wazanzibar)linaweza kutoa rais bora kuliko kundi la watu milioni 43(43m-watanganyika)?Tanganyika inafaidika vipi na muungano huu?hakika itakuwa muujiza wa karne kama itakuja kutokea huko mbele ya safari kupata rais wa jamhuri toka zanzibar kama muungano utaendelea kuwepo kwani nia wazi kila mwenye akili/kufikiri anaelewa wazi kura ya maoni ikiitishwa leo asilimia kubwa watasema hawaoni faida ya muungano;kwa pande zote;bara na visiwani.

weka mizani mbele ya macho yako. Pima faida za muungano zinaunyanyua upande wa hasara. Katika JMT Rais ni mmoja tu na atokee popote pale. Sasa hapo znz hawawezi wakawa na rais tena. Bali watakuwa na Wazi ri kiongozi wa Jmt anayeshughulikia mambo ya znz. Anaingia madarakani kama wapiga kura wengi-watanzania wazanzibari wakazi watamkubali.
 
du anko usichanganyiwe sasa. JMT inanawir na itaendelea kunawir kwa mchango wa wa-zenj.

ndo nyodo hizi ninazosema!! sasa kunawir kwa jmt kutokanako na zenj ni kupi? zenj si ni kama wilaya tu huku bara? kwa idadi ya watu, eneo na kodi zinazokusanywa? mkikubali kwamba mnatunyonya ndo mtakua mmepevuka kifikra! otherwise wazenj ni mzigo kwa kweli
 
ndio maana unapata tatizo anko unapolumbana na wazenj. JMT siyo tanganyika. Lakini zanzibar ni sehemu ya jmt. Sasa nyodo iko wapi hapoa wacha tutengeneze katiba ambayo haitaruhusu mambo ya nyodoa
 
Back
Top Bottom