Rashda Zunde
Senior Member
- May 28, 2022
- 199
- 231
Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza kupitia sekta mbalimblai zikiwemo utalii, afya, elimu ili kuchochea ukuaji wa uchumi.
Kitendo cha Rais Samia Suluhu kuvutia uwekezaji ni jambo zuri, kwa sababu kinasaidia kuelta maendeleo mazuri na kuchochea ukuaji uchumi na kukuza pato la taifa.
Pongezi kubwa kwa Rais Samia, ambaye anaendelea kuvutia uwekezaji katika nchi yetu, kwani ni hatua kubwa sana.
Ushauri wangu kwa wanawake, tunapaswa kuwa mstari wa kwanza kumuunga mokono Rais Samia Suluhu katika hatua anazozifanya za uwekezaji.
Ni dhahiri dhamira ya Rais Samia Suluhu kwa wananchi ni nzuri, hivyo endapo ushirikiano ukiendelea kutokea utasaidia kwa kiwango kikubwa kumpa nguvu ya kuwalatea maendeleo Watanzania kupitia miradi ya kimkakati.