Huku Dkt. Slaa, kule Silaa. Serikali Inaendeleza Vioja

The Shah of Tanganyika

JF-Expert Member
Jul 2, 2023
602
1,571
Badala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Silaa kuvuruga malengo ya hoja husika.

Jerry Silaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa.

Headline za magazeti pamoja na zile akaunti za kwenye mitandao zenye mlengo wa kiushabiki wa CCM zitaandika utumbo wa Jerry Silaa na kumhamishia Mh. Balozi Dr. W. Slaa.

Niseme wazi tu kuwa huku ni kuendelea kuwachezea watanzania na kuwahadaa kwa kutumia vioja na njama za kipuuzi kabisa.

CCM imechoka kuongoza. Ipumzishwe kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
 
Badala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Slaa kuvuruga malengo ya hoja husika.

Jerry Slaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa.

Headline za magazeti pamoja na zile akaunti za kwenye mitandao zenye mlengo wa kiushabiki wa CCM zitaandika utumbo wa Jerry Slaa na kumhamishia Mh. Balozi Dr. W. Slaa.

Ccm walichowafanyia watz , Mungu ameondoa Kibali juu yao
 
Jerry Slaa ni tofauti kabisa na Dr Wilbroad Slaa. Na Jerry Slaa ameongea hoja nzito, tatizo mnaichukia CCM halafu chuki yenu inaishia humu humu mitandaoni hao mnaowachukia ndio watekelezaji wakubwa wa siasa za nchi.

Ndio wapo karibu na watu kuanzia juu mpaka chini huko mtaani, nyinyi wasomi mnaishia kusema CCM imechoka lakini hamuonyeshi kwa vitendo huko kuchokwa kwao kupo vipi.

Zinakuwa ni mbwembwe za malalamiko ya facebook na JF na sio zaidi ya hapo.
 
Haijawasaidia. Mtanzania wa Sasa akiona kichwa cha habari kina utata anaingia kwenye habari ili kama ni Dr Slaa kweli aanze naye hapo anakuta ni Silaa aliyeokota Ubunge.
 
Badala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Slaa kuvuruga malengo ya hoja husika.

Jerry Slaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa.

Headline za magazeti pamoja na zile akaunti za kwenye mitandao zenye mlengo wa kiushabiki wa CCM zitaandika utumbo wa Jerry Slaa na kumhamishia Mh. Balozi Dr. W. Slaa.

Niseme wazi tu kuwa huku ni kuendelea kuwachezea watanzania na kuwahadaa kwa kutumia vioja na njama za kipuuzi kabisa.

CCM imechoka kuongoza. Ipumzishwe kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Hii serikali ina mambo ya kipumbavu sana
 
Umekosea majina hapo Kuna Dr. Wilbroad Slaa na huyo mwingine ni Jerry Silaa
 
Jerry Slaa ni tofauti kabisa na Dr Wilbroad Slaa. Na Jerry Slaa ameongea hoja nzito, tatizo mnaichukia CCM halafu chuki yenu inaishia humu humu mitandaoni hao mnaowachukia ndio watekelezaji wakubwa wa siasa za nchi.

Ndio wapo karibu na watu kuanzia juu mpaka chini huko mtaani, nyinyi wasomi mnaishia kusema CCM imechoka lakini hamuonyeshi kwa vitendo huko kuchokwa kwao kupo vipi.

Zinakuwa ni mbwembwe za malalamiko ya facebook na JF na sio zaidi ya hapo.

kubinafsisha bandari kwa sababu za kitoto eti ufanisi mdogo tayari hiyo ni dalili kuwa CCM imechoka, inashindwa hata kupata watu katika watanzania 60mil kuendesha bandari kwa ufanisi.

Kutegemea hela za Covid kujenga madarasa huku tuna bahari, madini na mbuga za wanyama ni dalili tosha kwa CCM kuchoka.

Kutumia misaada ya wahisani kujenga matundu ya choo nayo ni dalili tosha ya kuchoka, kujengewa barabara kwa hisani ya watu wa USA huku tukiwa na kila kitu nayo ni dalili ya kuchoka.

Kushindwa kusimamia mashirika kama ATCL, UDART, TANAPA, TTCL nk yakaleta utajiri na watanzania kunemeeka, nayo ni dalili tosha ya kuchoka kwa CCM.

Kutokuwa na tume huru ya uchaguzi, na kufanya chaguzi za vurugu nayo ni dalili tosha ya kuchoka na kuogopa wananchi.

Hakuna strong point yeyote aliyoongea Jerry Slaa zaidi ya maneno tu ambayo mtu yeyote anayeweza kuondoa, anapaswa kuja na strong point kutetea maamuzi ya serikali na kuwaonyesha watanzania usahihi wa kinachopingwa.
 
Badala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Slaa kuvuruga malengo ya hoja husika.

Jerry Slaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa.

Headline za magazeti pamoja na zile akaunti za kwenye mitandao zenye mlengo wa kiushabiki wa CCM zitaandika utumbo wa Jerry Slaa na kumhamishia Mh. Balozi Dr. W. Slaa.

Niseme wazi tu kuwa huku ni kuendelea kuwachezea watanzania na kuwahadaa kwa kutumia vioja na njama za kipuuzi kabisa.

CCM imechoka kuongoza. Ipumzishwe kwa maslahi mapana ya Taifa letu.
Kila aliyepokea mgao anatakiwa kuongea kidogo ili mwarabu afurahi
 
kubinafsisha bandari kwa sababu za kitoto eti ufanisi mdogo tayari hiyo ni dalili kuwa CCM imechoka, inashindwa hata kupata watu katika watanzania 60mil kuendesha bandari kwa ufanisi.

Kutegemea hela za Covid kujenga madarasa huku tuna bahari, madini na mbuga za wanyama ni dalili tosha kwa CCM kuchoka.

Kutumia misaada ya wahisani kujenga matundu ya choo nayo ni dalili tosha ya kuchoka, kujengewa barabara kwa hisani ya watu wa USA huku tukiwa na kila kitu nayo ni dalili ya kuchoka.

Kushindwa kusimamia mashirika kama ATCL, UDART, TANAPA, TTCL nk yakaleta utajiri na watanzania kunemeeka, nayo ni dalili tosha ya kuchoka kwa CCM.

Kutokuwa na tume huru ya uchaguzi, na kufanya chaguzi za vurugu nayo ni dalili tosha ya kuchoka na kuogopa wananchi.

Hakuna strong point yeyote aliyoongea Jerry Slaa zaidi ya maneno tu ambayo mtu yeyote anayeweza kuondoa, anapaswa kuja na strong point kutetea maamuzi ya serikali na kuwaonyesha watanzania usahihi wa kinachopingwa.
Pesa ya covid umeichanganya na mambo ya bandari!. Mkuu Nangu kunywa maji kwanza utulie ndio uje na hoja tena iwe fupi kwa faida yangu na ya msomaji mwingine.
 
CCM ni kusanyiko la matapeli tupu
 
Pesa ya covid umeichanganya na mambo ya bandari!. Mkuu Nangu kunywa maji kwanza utulie ndio uje na hoja tena iwe fupi kwa faida yangu na ya msomaji mwingine.

Hapana nimemaanisha kukuonyesha namna gani CCM ilivyochoka kufikiri, mpaka inategemea hela za Covid kujenga madarasa.

Kuchoka huko ndio kumefanya tushindwe kufikiri namna bora ya kuisimamia na kuirun bandari ikaleta tija na matokeoa chanya kwa raia baadala yake tunafikiria kirahisi na kwenda kubinafsisha.
 
Back
Top Bottom