Dkt. Slaa na wenzie kuitisha mkutano wa wananchi Julai 22

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Kuna mkutano unaandaliwa na Dr Slaa na wenzie July 22. Mahali patatangazwa wiki hii. Katika mkutano huo wazungumzaji ni mawakili Lissu, Mwabukusi, Madeleka, Nshala n. K pia Waziri Mbarawa amealikwa

Lengo la mkutano ni kujadili mkataba wa DP World

Updates
Tarehe 13/7 kutakuwa na Press Conference Mesuma Hotel Dar es Salaam. Wazungumzaji katika Press Conference ni Dr Slaa, Wakili Peter Madeleka na Wakili Boniface Mwabukusi. PRESS Conference itakuwa saa 5 Asubuhi
 
Kuna mkutano unaandaliwa na Dr Slaa na wenzie July 22. Mahali patatangazwa wiki hii. Katika mkutano huo wazungumzaji ni mawakili Lissu, Mwabukusi, Madeleka, Nshala n. K pia Waziri Mbarawa amealikwa

Lengo la mkutano ni kujadili mkataba wa DP World
Hao "wenzie 22" ni kina nani?

Unamaanisha ni mapadri walioacha upadri kwa matamanio yao, au?

Tafadhali fafanuwa.
 
Atasema nini wakati serikali imeshaziba masikio na kuamua kuendelea na mchakato wa kumkaribisha DP?
 
Kuna mkutano unaandaliwa na Dr Slaa na wenzie July 22. Mahali patatangazwa wiki hii. Katika mkutano huo wazungumzaji ni mawakili Lissu, Mwabukusi, Madeleka, Nshala n. K pia Waziri Mbarawa amealikwa

Lengo la mkutano ni kujadili mkataba wa DP World
Naomba wa mwalike Katibu Mkuu wa Ujenzi Balozi Aisha Amour sijawahi kumsikia akiongea wakati yeye ni mtendaji mkuu wa hiyo Wizara.
 
Back
Top Bottom