JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,106
- 3,523
Habari za leo wana JF!
Zamani Mwalimu Nyerere atuambia maadui wa kweli wa Nchi hii walikuwa watatu yaani ujinga, maradhi na umasikini. Lakini miaka 60 baada ya uhuru maadui wameongezeka badala ya kupungua. Kutoka maadui watatu hadi maadui watano.
Bahati mbaya zaidi wajinga wa sasa ni wale walioenda shule lakini hawajaelimika na hawatumii elimu yao kwa akili.
Maadui wa sasa kufuatana na ukubwa wao ni kama ifuatavyo;
Jioni moja mwaka 2020, nilipewa lift na Askari polisi mmoja mida ya jioni siku moja baada ya uchaguzi, akawa anazungumza na wenzake niliowakuta mle ndani kuwa kazi imeisha, bado kidogo kule Zanzibar, lakini muda siyo mrefu polisi wataleta utulivu. Lakini mmoja wao akasema ila kazi ilikuwa ngumu sana, bila kushitukia mapema upinzani wangechukua majimbo mengi sana. Wakatolea mfano wa jimbo ambalo Mimi nipo, wakasema kati ya kata 17 jamaa walishinda kata 12, wakimaanisha CHADEMA, lakini kwa kazi walioifanya polisi kata zote zimeenda CCM.
Hao maadui wengine bado wapo, lakini kwenye kundi kaingia CCM. Huyu ni adui mbaya sana kwasababu siyo tu anatutia hasara kwenye mikataba mibovu lakini pia anauza Nchi yetu kidogo kidogo na mwisho wa siku tutajikuta wote tupo utumwani.
Ukifikiri sana huoni sababu ya kuwa na Jeshi au Usalama wa Taifa. Jiulize hawaoni kuwa Wanasiasa wanatupeleka kubaya?

- POLISI
- UJINGA
- MARADHI
- UMASIKINI
- CCM