Ziara za Mbunge Mwambe zinaendelea Jimboni Ndanda

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Mbunge Wa Jimbo la Ndanda Cecil David Mwambe ameendelea na ziara Jimboni Ndanda.

Leo Jumanne ya tarehe 18 Julai, 2023 amefanya Mikutano Vijiji vya Mihima na Nambawala kwenye Kata ya Mpanyani kwa kusikiliza Kero na Kuongea na Wananchi.

Kwenye Ziara hiyo amezindua mradi Wa maji Wa Kijiji Cha Nambawala.

IMG_20230718_231530_281.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom