Hivi naotaa ama ni ukweli dhahiri?
Kwamba: badala ya hoja zetu kujikita kwenye utatuzi wa vipengele tata vya mkataba wa Dp world na hatimaye tufikie hatima njema kama taifa na kutuacha kwenye...
Jambo lipo Kondoa.
Mkutano Mkuu wa Jimbo kondoa
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana.
#VitendoVinaSauti
#CCMImara
#KaziIendelee
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo anesema yeye ni Professional na Mbunge anayewakilisha wapiga kura laki 4 Ubungo hivyo ni vema aaminiwe
Prof Kitila amesema DP World watapewa Malengo na Vigezo...
Halmshauri Kuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini Unguja imemfuta uanachama kada wake Balozi Ali Karume.
Kikao cha kumfuta uanachama Balozi Karume kimefanyika saa saba usiku wa kuamkia leo...
Uhuru usio na mipaka ni uhaini.
Kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na...
Malawi Na Tanzania Za Saini Hati Ya Makubaliano
Malawi kutumia mkongo wa intaneti unaopita chini ya ardhi kuunganisha Tanzania na Malawi hatimaye dunia unaokatisha chini ya bahari ya Hindi...
Zipo taarifa kwamba Wakenya wamekuja Tanzania kujifunza Mafanikio ya STAMICO, sasa na mimi naomba kuyajua hayo mafanikio ambayo STAMICO inaweza kuwafundisha wengine?
Mchungaji amesema binadamu anapaswa Kutubu na kusamehe " Utusamehe Dhambi zetu kama sisi tunavyowasamehe wanaotukosea"
Waziri mstaafu Ngeleja alipokea Fedha na ilipoibuliwa bungeni na Mzalendo...
Kama kawaida ya CCM yanapowafika shingoni wanawakimbilia waislamu, ni mara nyingi wanafanya hivyo.
Nakumbuka tulipokwenda kwenye uchaguzi wa marudio Wilayani Igunga mwaka 2011 baada ya aliyekua...
UKIONA KIONGOZI ANATUMIA LUGHA ZA KUTISHA WATU, JUA HUYO NI DHULMATI"MDHALIMU", MASHETANI NDIO HUFANYA HAYO.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Saikolojia ya mtu mwovu...
Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya.
Kwani katiba ilioruhusu Zanzibar kuwa na serikali yake kamili, huku Tanganyika ikiwa haina serikali nyingine yake yenyewe, kwanini katiba hio...
Wenye Akili kubwa tulijua tu kuwa mkutano wa CHADEMA Temeke utapata vizingiti tu kutoka kwa watawala kama sio polisi basi ni CCM au msajili wa vyama. Hatimae yameanza kutokea.
Wahuni wametumwa...
KAMA JAKAYA NA UHURU, KAMA RIDHIWANI NA JOMO
JAKAYA Kikwete, Rais wa Nne Tanzania. Uhuru Kenyatta; Rais wa Nne Kenya.
Ridhiwani ni mtoto wa kwanza wa Jakaya. Jomo ni mwana wa kwanza wa...
Habari wakuu,
Leo ni uzinduzi wa kampeni kwa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ambazo zinafanyika leo Jumamosi tarehe 29 Agosti 2015 katika viwanja vya Jangwani. Kampeni hizi zitaungwa...
Waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao...
Kwa mujibu wa shirika la fedha Duniani IMF Uchumi wa Tanzania hivi sasa unafika karibu asilimia 6% Wakati uchumi wa Majirani zetu wa Kenya upo asilimia 4.7% Hongera Mama Rais Samia Suluhu...
Akizungumza na gazeti la Mwananchi , DCI Ramadhan Kingai amesema kwamba wito uliotolewa kwa wale Wazalendo wanaopinga Mkataba wa kimangungo kati ya Tanzania na DP WORLD wa kuitwa kuhojiwa polisi...
Disemba 1961 Tanzania ilipata Uhuru na kushimika Bendera yake na Mwenge wa Uhuru katika kilele cha Mlima Kilimanjaro na marehemu MajorAlex Gwebe Nyirenda.
Huyu ndiye shujaa aliyepandisha bendera...
Niweke wazi kabisa kwamba , hakuna mabadiliko yoyote yatakayopongezwa , ikiwa Francis Mutungi na msaidizi wake Sisty Nyahozya wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa, na yule Dr Mahera ambaye ni...