Hakuna Mwanasiasa aliyefanya Urafiki na CHADEMA akafanikiwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,119
Kikweta aliwaalika CHADEMA Ikulu wakanywa juice na samosa na lilipofika bunge la Katiba wakamtosa.

Maalim Seif alikubali kumtosa Prof. Lipumba ili kumsapoti Mzee Lowassa wa CHADEMA lakini Maalim Seif alivyoporwa ushindi na matokeo kufutwa, CHADEMA walikaa kimya kabisa.

Julius Mtatiro alikuwa mgombea Ubunge wa UKAWA kule Segerea, lakini dakika za mwisho CHADEMA wakachomeka mgombea mwingine ambaye alikuwa ameshateuliwa kusubiria Ubunge wa Viti Maalumu Wanawake.

Rais Samia aliwaalika CHADEMA kipekee kabisa kwenye Maridhiano wakati vyama vingine vyote vikiwa kwenye Kikosi Kazi cha Prof. Mkandala sasa ngoja tuone kwa sababu Maridhiano yanaendelea.

Urafiki na CHADEMA ni pasua kichwa kwa kweli!
 
Je Magufuri ambaye alikuwa Adui wa CHADEMA alifanikiwa kutawala miaka kumi kwa mafanikio makubwa kama alivyojinasibu kuwa Wapinzani walichelewesha sana maendeleo.
 
Kikweta aliwaalika CHADEMA Ikulu wakanywa juice na samosa na lilipofika bunge la Katiba wakamtosa.

Maalim Seif alikubali kumtosa Prof. Lipumba ili kumsapoti Mzee Lowassa wa CHADEMA lakini Maalim Seif alivyoporwa ushindi na matokeo kufutwa, CHADEMA walikaa kimya kabisa.

Julius Mtatiro alikuwa mgombea Ubunge wa UKAWA kule Segerea, lakini dakika za mwisho CHADEMA wakachomeka mgombea mwingine ambaye alikuwa ameshateuliwa kusubiria Ubunge wa Viti Maalumu Wanawake.

Rais Samia aliwaalika CHADEMA kipekee kabisa kwenye Maridhiano wakati vyama vingine vyote vikiwa kwenye Kikosi Kazi cha Prof. Mkandala sasa ngoja tuone kwa sababu Maridhiano yanaendelea.

Urafiki na CHADEMA ni pasua kichwa kwa kweli!
Wewe umevimbiwa sio bure
 
Vita na CDM ni vita na Mungu kwani CDM ni watu wa haki na utu,
Angalia namna mwendazake alivyowafanyia ubaya CDM leo yuko wapi!
Ukatili na unyanyasaji wake ndio maana Mola akamwambia "BASI'
Vita ya CCM na upinzani angalieni namna ccm ili waweze kuendelea kuwepo walivyoamua kumshirikisha yule "aliye kinyume" na Mungu ili waweze kuwepo!
 
CHADEMA wanataka haki na siyo unafiki
 
Hawajawai kuwa wakweli ndio shida ilipo anzia na vichwan hakuna kitu wanaenda na upepo
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayefurahia kifo au kufa kwa Wanadamu wenzie.Lakini dhalimu kama vile mchawi,jambazi,mwizi aliyekubuhu,dikteta siku akifa jamii hupumua na kufurahi.
Kipimo cha Ubaya wa Binadamu anacho Mungu wa mbinguni 😀

Tundu Lisu: Magufuli anasingiziwa mambo mengi kwa sababu amekufa 😂😂
 
Back
Top Bottom