Pamoja na NAPE kukiri kuwa Lissu ni mjomba wake; hakuwahi kulaani mjomba kupigwa risasi (tukumbuke mjomba ni mama)

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Wanasiasa wa Tanzania wana roho ngumu sana. Wapo tayari kulinda madaraka lakini siyo kulinda ndugu zao.

Mimi sikujua kama Nape ni mjomba wa Tundu Lisu; kama Nape na Lisu ni ndugu basi siasa imefika pabaya. Kwamba mjomba wako anapigwa risasi unashangilia? Kwamba Mama Samia aliweza kuwa na utu kuliko hata wajomba wa Lisu?

Tunao wanasiasa wanaishi kiadui sana kwa sababu tu ya tofauti ya vyama au kukosa uhuru wa kujiamulia mambo
 
Ifike muda tuachane na mambo ya kuwatafutia ubaya watu. Nape mwenyewe ni mhanga wa serikali iliyopita. Kumbuka hakuna mtu aliyethubutu kwenda kinyume na JPM enzi hizo. Nape hana kosa katika hilo. Labda ungeuliza hela za michango ya M4C zilikuwa kiasi gani na zimetumikaje.
 
Wanasiasa wa Tanzania wana roho ngumu sana. Wapo tayari kulinda madaraka lakini siyo kulinda ndugu zao.

Mimi sikujua kama Nape ni mjomba wa Tundu Lisu; kama Nape na Lisu ni ndugu basi siasa imefika pabaya. Kwamba mjomba wako anapigwa risasi unashangilia? Kwamba Mama Samia aliweza kuwa na utu kuliko hata wajomba wa Lisu?

Tunao wanasiasa wanaishi kiadui sana kwa sababu tu ya tofauti ya vyama au kukosa uhuru wa kujiamulia mambo
Nape ni comedian wa kisiasa; kauli zake usizichukulie kwa uzito kivile!
 
Kwenda kuona mgonjwa hospital siyo mara zote inamaanisha utu.

Wengine wanaenda kuangalia ni kwa namna gani kazi imefanyika.
 
Back
Top Bottom