CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.

Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.

Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti.
Mimi mtazamo wangu CCM haipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.

Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa. Matukio ya ajabu na maelekezo ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu. Dharau kupiliza kwa masikini na watu wasiyojiweza.

Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.

Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.

Lameck Madelu - Mwigulu Nchemba
Daudi Albert Bashite - Paul Makonda
Erick Ngambeki - Kheri James
Said Bagaile - Hamis Kingwangwala
Obed Mayagi Mulaga - Cyprian Musiba.
Daniel Chongolo - Godfrey Daniel Chongolo.
 
Attachments

  • VID-20230717-WA0008.mp4
    2.6 MB
  • P-VID-20230717-WA0009.mp4
    9.2 MB
Chongolo shikilia hapo hapo.

CCMM ktk ilani ya 2020 haikuruhusu bandari zote za bara kugawiwa Bure wageni na kumnyang'anya wazawa fursa zote za kiuchumi.

UKWELI wako, hata kama unaongeza joto ktk suala hili, lakini utalisaidia Taifa kuondokana na uchuro huu!!

Hatutakubali!!!
 
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.

Tumeona Rais juzi wakati anazingua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.

Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti. Mimi mtazamo wangu CCM havipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.
Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa.
Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.

Orothaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
Huna HOJA,

AHADI za tanu: Nitasema Kweli Daima, RUSHWA kwangu MWIKO 🙏🙏🙏

Chongolo kamatia hapo hapo.

Mkataba FAKE na BATILI ufutwe haraka!!

Haiwezekani bandari zote za bara apewe mwarabu Bure kabisa tena bila UKOMO!!!!
 
Unaweza kusoma lakini usielemike, kama Magufuli.

Wasomi wa Tanzania ni utumbo kama yule aliyekwenda bungeni kuwapima samaki waliopikwa kwa ruler.

Sasa huyo 'msomi" kaelimika kweli?
Na unaweza kwenda shule, na akili ukaziacha nyumbani vile vile. .

Usisahau Hilo pia.

Chongolo amesema Kweli tupu,

Aungwe mkono.

Mlihadaa watu Eti mkataba ni dar pekee Gati no 5 Hadi 7 kumbe UONGO!!!

Tangu lini waislame wmekua waongo hivi?
 
Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini.

Tumeona Rais juzi wakati anazingua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini.

Kumuunga mkono Rais ni kuachana na watu ambao wanautata na matokeo ya chuo, utata wa elimu ya sekondari, na utata wa vyeti. Mimi mtazamo wangu CCM havipendi wasomi kabisa hata pale ambapo marehemu Magufuli alipokumbatia wasomi alibezwa sana.
Nimekaa hapa na kutathimini matukio ya viongozi wenye utata kwenye CV yao. Inasikitisha kabisa.
Mimi nawaomba watanzania tuwaorodhese wanaccm wote wenye utata wa elimu na matokeo ya elimu kwanzia elimu ya Awali hadi chuo kikuu.

Orodhaa hii iambatane na matukio ya kusikisha ya waliyofanya wakiwa madarakani.
🤣🤣
 
Da Faixa hivi umeonaje tamko la Rais kuwa wakosoaji waitwe waingizwe Tume ya Mipango....!
Sijayasikia, unaweza kunukuu au kuniwekea link alipoyasema hayo? Pindi nitakapoyasikia ntaeleza maoni yangu. Mara nyingi huwa sipendi kutolea maoni ya "kuambiwa "fulani kasema".
 
Na unaweza kwenda shule, na akili ukaziacha nyumbani vile vile. .

Usisahau Hilo pia.

Chongolo amesema Kweli tupu,

Aungwe mkono.

Mlihadaa watu Eti mkataba ni dar pekee Gati no 5 Hadi 7 kumbe UONGO!!!

Tangu lini waislame wmekua waongo hivi?
Chongolo hajakosea na makubaliano yapo wazi kabisa, hjayaona?

Elewa tu, makubaliano ya nchi na nchi siyo Mkataba wa kuendesha bandari ipi na vipi.

Kuendesha bandari siyo lelemama.
 
Na unaweza kwenda shule, na akili ukaziacha nyumbani vile vile. .

Usisahau Hilo pia.

Chongolo amesema Kweli tupu,

Aungwe mkono.

Mlihadaa watu Eti mkataba ni dar pekee Gati no 5 Hadi 7 kumbe UONGO!!!

Tangu lini waislame wmekua waongo hivi?
Waislamu wameingiaje hapo ?
Mbona mwapenda kujivua nguo na kuonekana ni mijitu ya ovyoo?
 
Back
Top Bottom