Kwa mujibu wa taarifa ya Tamisemi 2014 Tanzania bara ina jumla ya mitaa 3, 741
Vijiji 12, 423
Vitongoji 64, 616 ukijumlisha vyote unapata jumla 80, 780 idadi hii nisawa na wenyeviti wa mitaa...
Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana
======
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku...
Friends and Our Enemies,
This is the last kick of the dying horse,
Chadema, wanaharakati uchwara, wafia dini na wapinga maendeleo ya nchi wamefikia hatua ya mwisho sasa.
Wameona kuwa hila zao...
CCM kwa sasa ina chaguzi mbili tu, kumtosa Rais Samia na wenzie waliotufikisha hapa ianze upya au kuikosa Ikulu 2025
Nchi imechafuka, wananchi wamekasirika kwa kuwa wameujua ukweli kwamba CCM na...
Katika ukurasa wake wa Twitter Ibrahim Babangida kaweka wazi hadharani sifa za serikali ya kiraia kupinduliwa.
Moja, uwepo ushahidi wa kutosha palikuwepo na matukio ya wizi wa kura. Pili...
Kumekuwa na maneno maneno humu kuwa mimi na wenzangu tunaomuunga mkono Rais Samia basi kama sio Waislamu basi ni Wazanzibar na kama hauko kote huko basi wewe ni chawa wake.
Hizi ni siasa za...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, amesema mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, pamoja na Miradi mingine ya kimkakati...
KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano...
Wanatumia jina la sheria wakijitungia wenyewe.
Wanawapora watu mali zao kwa kuhalalisha uporaji wao kwa neno sheria na kanuni, wanaita kodi.
Sasa hivi ni rasmi KUTOKA SH 1000/- MPAKA 1500/- Kwa...
"Uchochezi", hili ni neno pana sana ambalo hutumika kwenye nchi za kidikiteta, madhumuni yake ni kuwabana wapenda haki ili wananchi waweze kukandamizwa kwa kunyimwa haki zao! Kinachotokea ni kuwa...
Upepo wa kisiasa umeikataa kabisa CCM, hawafurukuti, hawahemi
Tangu kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa na mengine yote yaliyofuatia ni kama vile sasa CHADEMA ndio chama tawala na CCM ndio chama...
Kiongozi hupimwa kwa uwepo wa kuvumilia mishale kipindi cha shida na kipindi cha hoja za kitaifa. Rais ameona upepo wa kisiasa, ametambua uwepo wa tafsiri mbaya dhidi ya nia yake ya kutafuta...
Serikali ya Tanzania imezindua rasmi ubalozi wake jijini Algiers, Algeria.
Ufunguzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax na kuhudhuriwa...
Katibu mkuu wa Chadema kupitia ukurasa wake wa twitter amewaasa Wanachadema kujadili Mkataba wa Bandari, Katiba Mpya sambamba na Ongezeko la gharama za Maisha na hasa sintofahamu ya Ongezeko la...
Ukitaka kujua uchanga wa CHADEMA soma hii;
Kamanda Maro
Amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa wakati moto huo unagundulika, viongozi na maofisa wa CHADEMA hawakuwepo hotelini hapo kwa sababu...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Dar es Salaam, Ali Bananga amesema “Tupo na Rais Samia hadi Mwaka 2030, ukipenda ndio hivyo, kama hupendi ndio hivyo, maana yake tuna miaka 7 ya kuendelea kuufaidi...
Friends and our enemies,
Nichukue nafasi hii kumpongeza Sheikh Mwaipopo kwa uthubutu wake wa kusimama na kuwakemea CHADEMA na baadhi ya maaskofu kwa kile tunachoweza kukiita ni choko choko za...
Bila kupotezeana muda Tundu LISSU anasema hivi Magufuli alikataa kusaini mkataba mmoja tuu wa wachina ambao waliomba kujenga bandari kwa pesa zao lakini wakaweka sharti waimiliki kwa miaka 99...
Ndugu zangu Watanzania,
Kitendo na hatua ya Rais Samia kuamua kukaa kimya pasipo kuwajibu chochote wapinzani hasa CHADEMA na kuamua kuendelea na kazi ya kuwatumikia Watanzania kinawatesa sana...
Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3.
Sababu kuu anasema hii...