CCM imetekwa na CHADEMA kwa msaada wa wana CCM wenyewe!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,784
Upepo wa kisiasa umeikataa kabisa CCM, hawafurukuti, hawahemi
Tangu kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa na mengine yote yaliyofuatia ni kama vile sasa CHADEMA ndio chama tawala na CCM ndio chama cha upinzani.

Kila kinachofanywa na CHADEMA ama viongozi wake mmoja mmoja kwasasa ni habari kubwa na gumzo kwenye jamii. CHADEMA infuatiliwa kwa karibu mbo na wana CCM kuliko hata wana CHADEMA wenyewe.

Kila kinachofanywa na CHADEMA kwasasa wa kwanza kukianzishia mijadala mirefu ni wana CCM.. Si kwamba hakuna habari za CCM zipo nyingi tu lakini hazipewi kipaumbele wala umuhimu tena

Kinachoonekana kwasasa ni kama vile CHADEMA ndio muongoza njia jasiri kisha CCM ndio anafuata kwa nyuma, maana CHADEMA na viongozi wake kwa miezi hii michache wamekuwa hawakauki midomoni mwa wana CCM!

Tafsiri yake ninini? CCM imekuwa mateka wa CHADEMA na wanapelekwa vyovyote vile CHADEMA itakavyo
 
CCM hawajawahi kuwa maboya ktk historia ya nchi hii.
Mfano sasa hivi wamewaweka Chadema sehemu mbaya ambayo hata Bavicha wenyewe hawajui wanachomokaje.
Unaanzaje kuwakataa wakina Mdee wakati mwenyekiti wako anavuta mil 800 ya Konyagi.
CCM akili kubwa.
😅
 
CCM hawajawahi kuwa maboya ktk historia ya nchi hii. Mfano sasa hivi wamewaweka Chadema sehemu mbaya ambayo hata Bavicha wenyewe hawajui wanachomokaje.

Unaanzaje kuwakataa wakina Mdee wakati mwenyekiti wako anavuta mil 800 ya Konyagi. CCM akili kubwa.
I feel so sorry about CCM kama hawa ndio wajenga hoja wanaotegemewa na chama
 
CCM inajitetea yenyewe

Nilimshangaa Sana J J Mnyika alipokataa Kuwa hajasaini Fomu za akina Halima Mdee Kuwa Wabunge

Usitegemee CCM itarudia makosa ya 2015 kumruhusu Lowassa kwenda Chadema na kisha kutimia nguvu kubwa kumdhibiti
Unajua Jo hujui hata unaongea nini au umeamka nazo?
Kama inajitetea yenyewe nyie mnafanya nini sasa hapa
 
Upepo wa kisiasa umeikataa kabisa CCM, hawafurukuti, hawahemi
Tangu kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa na mengine yote yaliyofuatia ni kama vile sasa CHADEMA ndio chama tawala na CCM ndio chama cha upinzani.

Kila kinachofanywa na CHADEMA ama viongozi wake mmoja mmoja kwasasa ni habari kubwa na gumzo kwenye jamii. CHADEMA infuatiliwa kwa karibu mbo na wana CCM kuliko hata wana CHADEMA wenyewe.

Kila kinachofanywa na CHADEMA kwasasa wa kwanza kukianzishia mijadala mirefu ni wana CCM.. Si kwamba hakuna habari za CCM zipo nyingi tu lakini hazipewi kipaumbele wala umuhimu tena

Kinachoonekana kwasasa ni kama vile CHADEMA ndio muongoza njia jasiri kisha CCM ndio anafuata kwa nyuma, maana CHADEMA na viongozi wake kwa miezi hii michache wamekuwa hawakauki midomoni mwa wana CCM!

Tafsiri yake ninini? CCM imekuwa mateka wa CHADEMA na wanapelekwa vyovyote vile CHADEMA itakavyo

Nafikiri kila mwanzo mpya ni mgumu, kuwa na rais mwanamke ni safari ambayo hatujawahi kuitembea kabisa.

Nahisi mwanzo rais wetu Mama yetu walikuwa wanamwongoza, then akaona mbona mambo yanaharibika.

Basi akaamua kubadilisha na moyo wake wa Kiungwana ndo huu unaonekana, sasa watu wenyewe ni Mbowe na Lema, hehe, watamwongoza.

Tunaweza pishana, ila naamin kuna makubaliano fulani ya kutombuguzi Mama kwenye u rais, lazima kuna Namna atafaidika, this turning point is so serious.
 
Mshana naona unajaribu kufurukuta na kuugeuza ukweli.

CDM kwasasa iko kwenye biashara na hiyo biashara wanufaika ni elites wa CDM, hii imekuja baada ya wengi kupoteza mali zao kipindi cha JPM.

Kilichofanyika nikucompromise ili mama 2025 asisumbuliwe, na kila njia wanayoipitia CDM kwasasa ni hatua za makubalino, kifupi wako blackmailed.

2025 yapo majimbo ambayo CDM watapewa, hii nayo ni sehemu ya makubalino lengo wale vijana wasioijua biashara nao wapate sehemu ya kuishi.

Kifupi Tanzania hakuna upinzani bali kuna wafanyabiashara.
 
Tanzania haina WANASIASA ina wafanyabiashara.
 
Upepo wa kisiasa umeikataa kabisa CCM, hawafurukuti, hawahemi
Tangu kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa na mengine yote yaliyofuatia ni kama vile sasa CHADEMA ndio chama tawala na CCM ndio chama cha upinzani.

Kila kinachofanywa na CHADEMA ama viongozi wake mmoja mmoja kwasasa ni habari kubwa na gumzo kwenye jamii. CHADEMA infuatiliwa kwa karibu mbo na wana CCM kuliko hata wana CHADEMA wenyewe.

Kila kinachofanywa na CHADEMA kwasasa wa kwanza kukianzishia mijadala mirefu ni wana CCM.. Si kwamba hakuna habari za CCM zipo nyingi tu lakini hazipewi kipaumbele wala umuhimu tena

Kinachoonekana kwasasa ni kama vile CHADEMA ndio muongoza njia jasiri kisha CCM ndio anafuata kwa nyuma, maana CHADEMA na viongozi wake kwa miezi hii michache wamekuwa hawakauki midomoni mwa wana CCM!

Tafsiri yake ninini? CCM imekuwa mateka wa CHADEMA na wanapelekwa vyovyote vile CHADEMA itakavyo
Ni nani kati yetu angefanya tofauti na CHADEMA kwa namna Rais Samia anavyo IPONYA nchi iliyokuwa imechanika vipandevipande baada ya yule MWEHU wa Chato kutawala kwa chuki.

Je wewe Mshana Jr ungefanyaje kama ungekuwa kiongozi wa CHADEMA
 
Hapa Lumumba hatuna mama Massawe wa kutuletea Mbege!

CCM ina Chuo Kikuu cha Itikadi na kinategemewa kuihudumia Africa

Tanzania inajengwa ifanane na China!
Hiki chuo cha hapa Kibaha Kwamfipa? Kilichojengwa kwa msaada wa mvimba macho na interest zake? Kumbe Jo kuna mengi huyajui
 
Chadema ndio mmetekwa na CCM!
Chadema ndio mnaofanya kazi sambamba na CCM kwa sasa.View attachment 2538866
Ni Chadema ndio mnalipa Fadhila baada ya kupokea Ruzuku ya 898milioni na kuanza Rasmi kampeni ya kumsaidia Samia 2025.

Kampeni hiyo itazinduliwa Rasmi Moshi Kilimanjaro kupitia mkutano wa
BA -WACHA!
#Chadema Mmelamba matapishi yenu!
The think tank of CCM
 
Kama upo jirani na ofisi za CCM lazima unaona harakati zinaendelea, CCM Tupo kimyakimya, hivyo vyama havituogopeshi hata kidogo ispokuwa kwa uungwana wa CCM tunavifariji kwanza kutoka kwenye magumu waliyopitia, "CCM TUNAJIPANGA KIDIGITALI"
 
Back
Top Bottom