Ali Bananga: Rais Samia amebakiza miaka 7, anatoa darasa kwa kiongozi ajaye

DodomaTZ

Member
May 20, 2022
71
107
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Dar es Salaam, Ali Bananga amesema “Tupo na Rais Samia hadi Mwaka 2030, ukipenda ndio hivyo, kama hupendi ndio hivyo, maana yake tuna miaka 7 ya kuendelea kuufaidi ustaarabu wa mama yetu.

“Ni miaka 7 ya mafunzo kwa ajaye, tunaamini anayekuja ataendeleza utamaduni huu.

“Nimewahi kumsikia Rais akisema sio kwamba hasikii wanaomkebehi na kumsema vibaya, lakini moyo wake ni mkubwa unaoweza kuhimiri, hii ndio sifa ya kiongozi, uwezo wa kupokea na kusikia, siyo kiongozi wa dakika moja amesharuka na ninyi wote.”

Kuhusu mkewe kuwa ndani ya chama
Hayo ni masuala yao (CHADEMA) wako Mahakamani, wapo Mahakamani watajuana wenyewe.

Niliondoka kuja CCM kwa kuwa nilifuata ndoto zangu, niliondoka kwa kuwa wakati wa Bwana ulifika, wakati naondoka mke wangu alikuwa CHADEMA na bado yupo huko.

Sababu ya kuhama CCM kwenda CHADEMA kisha kurejea CCM
Naondoka kutafuta political stability na political maturity, tangu Mwaka 2020 nilipokuwa Meneja wa Kampeni za Lissu sikutumika tena na CHADEMA, baada yah apo nikawekwa benchi, hali ambayo ilionesha sihitajiki.

Kuhusu kuondoka CCM kipindi kile waliokuwepo waliona mabishano ya kisiasa Mwaka 2010 kuhusu mgombea wa Urais wakati ule, ilifika hatua nikaona bora kujiondoa kwenye mchakato huo.

CHADEMA ni sehemu ambayo unafanya siasa katika mazingira magumu yanayohitaji ujasiri na walinioa room ya kufanya siasa.

Cheo kikubwa nilichokuwa nacho ni Udiwani lakini nilikuwa maarufu kama ni mjumbe wa kamati kuu kwa kuwa walifungua milango ya mimi kufanya siasa.

Ilifika hatua nikaona siwezi kupiga hatua zaidi ya nilipofika, ikabidi nitafute changamoto nyingine.

Nilivyoona Rais Samia anaongoza, nikatamani kuwa sehemu ya watu ambao watasaidiana naye, ameruhusu siasa zenye makunjuo.

Nafurahia hii game ya siasa, siasa ni kusema na kujibizana, simlaumu mtu akisema, ninacholaumu ni kutukana.

Mama ameonesha yeye ni mama wa Demokrasia, wapinzani wpao huru kuzungumza, viongozi wadini, wana harakati na wengine wengi.

Pamoja na hivyo tusitumie vibaya uhuru wa kujieleza kuligawa Taifa la Mungu, kwani kuwa mpinzani haimaanishi ni kupingana tu kila kitu.

Wanaopongeza na kupinga CCM
Wanaopinga pia CCM wapo, hiyo ndio Demokrasia, mfano ni Bungeni kuna matukio mengi ya Wabunge wa CCM wanasimama kupinga hoja za Mawaziri.

Kwenye vikao vyetu vya kamati vya Kisiasa tunabishana kwelikweli, Wabunge wanapata wakati mgumu mno, mameya wanapata wakati mgumu pia, haiwezekani muda wote tukaelewana.

Sifa ya Mwanasiasa mzuri ni kukubali jambao ambalo hata kama hulipendi lakini lina maslahi ya wengi.

Chanzo: AMKA TANZANIA (Radio Times FM)
 
Chanzo: Radio Times FM
Miaka saba!?
Una maagano na Mungu ww. Fisiemu wana mizigo mizito kama huyu njemba
 
Angalau amepata kazi sasa aache kumsumbua Mkewe Hela ya bia , Hela ya bundle na hela ya kuhonga .
 
Bananga subiri wakati wa Bwana ukifika uta okota makopo.
Una sahau kiapo chako mbele ya kadamnasi pale Unga limited?? Cheza na vitu vyote lakini sio kiapo kwa kutumia jina la Mungu. Mganga njaa wewe?
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Dar es Salaam, Ali Bananga amesema “Tupo na Rais Samia hadi Mwaka 2030, ukipenda ndio hivyo, kama hupendi ndio hivyo, maana yake tuna miaka 7 ya kuendelea kuufaidi ustaarabu wa mama yetu.

“Ni miaka 7 ya mafunzo kwa ajaye, tunaamini anayekuja ataendeleza utamaduni huu.

“Nimewahi kumsikia Rais akisema sio kwamba hasikii wanaomkebehi na kumsema vibaya, lakini moyo wake ni mkubwa unaoweza kuhimiri, hii ndio sifa ya kiongozi, uwezo wa kupokea na kusikia, siyo kiongozi wa dakika moja amesharuka na ninyi wote.”

Kuhusu mkewe kuwa ndani ya chama
Hayo ni masuala yao (CHADEMA) wako Mahakamani, wapo Mahakamani watajuana wenyewe.

Niliondoka kuja CCM kwa kuwa nilifuata ndoto zangu, niliondoka kwa kuwa wakati wa Bwana ulifika, wakati naondoka mke wangu alikuwa CHADEMA na bado yupo huko.

Sababu ya kuhama CCM kwenda CHADEMA kisha kurejea CCM
Naondoka kutafuta political stability na political maturity, tangu Mwaka 2020 nilipokuwa Meneja wa Kampeni za Lissu sikutumika tena na CHADEMA, baada yah apo nikawekwa benchi, hali ambayo ilionesha sihitajiki.

Kuhusu kuondoka CCM kipindi kile waliokuwepo waliona mabishano ya kisiasa Mwaka 2010 kuhusu mgombea wa Urais wakati ule, ilifika hatua nikaona bora kujiondoa kwenye mchakato huo.

CHADEMA ni sehemu ambayo unafanya siasa katika mazingira magumu yanayohitaji ujasiri na walinioa room ya kufanya siasa.

Cheo kikubwa nilichokuwa nacho ni Udiwani lakini nilikuwa maarufu kama ni mjumbe wa kamati kuu kwa kuwa walifungua milango ya mimi kufanya siasa.

Ilifika hatua nikaona siwezi kupiga hatua zaidi ya nilipofika, ikabidi nitafute changamoto nyingine.

Nilivyoona Rais Samia anaongoza, nikatamani kuwa sehemu ya watu ambao watasaidiana naye, ameruhusu siasa zenye makunjuo.

Nafurahia hii game ya siasa, siasa ni kusema na kujibizana, simlaumu mtu akisema, ninacholaumu ni kutukana.

Mama ameonesha yeye ni mama wa Demokrasia, wapinzani wpao huru kuzungumza, viongozi wadini, wana harakati na wengine wengi.

Pamoja na hivyo tusitumie vibaya uhuru wa kujieleza kuligawa Taifa la Mungu, kwani kuwa mpinzani haimaanishi ni kupingana tu kila kitu.

Wanaopongeza na kupinga CCM
Wanaopinga pia CCM wapo, hiyo ndio Demokrasia, mfano ni Bungeni kuna matukio mengi ya Wabunge wa CCM wanasimama kupinga hoja za Mawaziri.

Kwenye vikao vyetu vya kamati vya Kisiasa tunabishana kwelikweli, Wabunge wanapata wakati mgumu mno, mameya wanapata wakati mgumu pia, haiwezekani muda wote tukaelewana.

Sifa ya Mwanasiasa mzuri ni kukubali jambao ambalo hata kama hulipendi lakini lina maslahi ya wengi.

Chanzo: AMKA TANZANIA (Radio Times FM)
Tatizo sio kuwa naye, unaweza kuwa naye popote.
Tatizo ni uwezo wake.
 
Nimeafutatilia siasa za Afrika Mashariki naona Wanasiasa wa Tanzania wengi ni vilaza!
Yaani hawajiamini kabisa na wengi ukiwasikiliza siyo watu huru kwasababu wanamtegemea siasa kuishi,yaani ukimtoa kwenye siasa hawezi kuishi maisha mengine.Na ndiyo maana kazi yao kusifia tu kila kitu na kumtukuza Rais kama Mungu.
Lakini Kenya unakuta Mwanasiasa ana Biashara zake au kama hana Biashara utakuta ni Consultant katika taaluma yake,Rais akizingua anapewa makavu live.Tanzania sasa Standard seven na Form four failures ndiyo wapo front!.God have mercy upon us!
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Dar es Salaam, Ali Bananga amesema “Tupo na Rais Samia hadi Mwaka 2030, ukipenda ndio hivyo, kama hupendi ndio hivyo, maana yake tuna miaka 7 ya kuendelea kuufaidi ustaarabu wa mama yetu.

“Ni miaka 7 ya mafunzo kwa ajaye, tunaamini anayekuja ataendeleza utamaduni huu.

“Nimewahi kumsikia Rais akisema sio kwamba hasikii wanaomkebehi na kumsema vibaya, lakini moyo wake ni mkubwa unaoweza kuhimiri, hii ndio sifa ya kiongozi, uwezo wa kupokea na kusikia, siyo kiongozi wa dakika moja amesharuka na ninyi wote.”

Kuhusu mkewe kuwa ndani ya chama
Hayo ni masuala yao (CHADEMA) wako Mahakamani, wapo Mahakamani watajuana wenyewe.

Niliondoka kuja CCM kwa kuwa nilifuata ndoto zangu, niliondoka kwa kuwa wakati wa Bwana ulifika, wakati naondoka mke wangu alikuwa CHADEMA na bado yupo huko.

Sababu ya kuhama CCM kwenda CHADEMA kisha kurejea CCM
Naondoka kutafuta political stability na political maturity, tangu Mwaka 2020 nilipokuwa Meneja wa Kampeni za Lissu sikutumika tena na CHADEMA, baada yah apo nikawekwa benchi, hali ambayo ilionesha sihitajiki.

Kuhusu kuondoka CCM kipindi kile waliokuwepo waliona mabishano ya kisiasa Mwaka 2010 kuhusu mgombea wa Urais wakati ule, ilifika hatua nikaona bora kujiondoa kwenye mchakato huo.

CHADEMA ni sehemu ambayo unafanya siasa katika mazingira magumu yanayohitaji ujasiri na walinioa room ya kufanya siasa.

Cheo kikubwa nilichokuwa nacho ni Udiwani lakini nilikuwa maarufu kama ni mjumbe wa kamati kuu kwa kuwa walifungua milango ya mimi kufanya siasa.

Ilifika hatua nikaona siwezi kupiga hatua zaidi ya nilipofika, ikabidi nitafute changamoto nyingine.

Nilivyoona Rais Samia anaongoza, nikatamani kuwa sehemu ya watu ambao watasaidiana naye, ameruhusu siasa zenye makunjuo.

Nafurahia hii game ya siasa, siasa ni kusema na kujibizana, simlaumu mtu akisema, ninacholaumu ni kutukana.

Mama ameonesha yeye ni mama wa Demokrasia, wapinzani wpao huru kuzungumza, viongozi wadini, wana harakati na wengine wengi.

Pamoja na hivyo tusitumie vibaya uhuru wa kujieleza kuligawa Taifa la Mungu, kwani kuwa mpinzani haimaanishi ni kupingana tu kila kitu.

Wanaopongeza na kupinga CCM
Wanaopinga pia CCM wapo, hiyo ndio Demokrasia, mfano ni Bungeni kuna matukio mengi ya Wabunge wa CCM wanasimama kupinga hoja za Mawaziri.

Kwenye vikao vyetu vya kamati vya Kisiasa tunabishana kwelikweli, Wabunge wanapata wakati mgumu mno, mameya wanapata wakati mgumu pia, haiwezekani muda wote tukaelewana.

Sifa ya Mwanasiasa mzuri ni kukubali jambao ambalo hata kama hulipendi lakini lina maslahi ya wengi.

Chanzo: AMKA TANZANIA (Radio Times FM)
Ali Bananga huyu Marioo anayeishi kwa kulelewa na mke wake mmoja wa wale covid 19 au ni mwingine?
 
Wewe Mungu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom