Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,174
Katika ukurasa wake wa Twitter Ibrahim Babangida kaweka wazi hadharani sifa za serikali ya kiraia kupinduliwa.
Moja, uwepo ushahidi wa kutosha palikuwepo na matukio ya wizi wa kura. Pili, serikali iliyoingia madarakani haina uhalali utokanao na uchaguzi,.
Tatu, wananchi wana malalamiko ambayo wapanga mapinduzi wanaona wataungwa mkono na raia. Nne, wanao uwezo wa kutekeleza azma yao. Tano, mahakama zinahalalisha mamlaka haramu.
USHAURI
Kuacha kuiba kura na kutegemea vyombo vya usalama badala ya wananchi kuipa serikali mamlaka ya kutawala ni njia bora ya kuzuia mapinduzi ya kijeshi au machafuko.