Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,862
- 5,680
Bila kupotezeana muda Tundu LISSU anasema hivi Magufuli alikataa kusaini mkataba mmoja tuu wa wachina ambao waliomba kujenga bandari kwa pesa zao lakini wakaweka sharti waimiliki kwa miaka 99.
Magufuli alikataa na akasema ni kichaa pekee anaweza kusaini mkataba wa namna hii amabo hauna tija kwa taifa.
Samia amesaini mkataba na waarabu kugawa Bandari za Tanganyika zote bure. Yaani wachina waliomba wajenge wenyewe wakataliwa na Magufuli lakini waarabu wanakuja Tanganyika na mabegi tuu wanaanza kuchuma mipesa ya watanganyika kupitia rasimali zao ambao zimetugharimu pesa nyingi kuziendeleza.
Tundu Lissu anasema kwenye mkataba huu wa kihuni Samia amesaini mwenyewe anatokaje? Ameingia mkenge na ametukosea sana sisi Watanganyika.
Kila Mtanganyika mzalendo bila kujali itikadi tumwambie Samia kuwa aige busara za walio mtangulia kama Lowasa na mwinyi mambo yalipo kuwa magumu walifanya maamuzi.
Mungu mbariki Tundu Lissu Mungu ibariki Tanganyika Mungu ibariki Chadema.