Mungu usiruhusu kikundi cha watu wachache kuamua juu ya watanzania ila wafungue watanzania macho ili waamie hatima yao na taifa lao wenyewe.
Iwe ni kwa nguvu ya mwanadam au taifa lolote lile...
Asalam,
Nimefuatilia mijadala ya huu mkataba wa kuuza Bandari. Mengi yamesemwa. Sitaki kuyarudia, Natoa ushauri tu sasa ili kulinda umoja wetu kama watanzania, muungano wetu na uimara wa CCM.
1...
Katiba Mpya kama itaandikwa au sheria mpya itungwe ili zieleze ni vipi na wapi Mahakama inaweza kushitakiwa.
Hii itafanya Majaji na Mahakimu kuwakana warasimu/wanasiasa wanaoingilia kazi zao...
MWEKEZAJI: HAUWEZI KUNUNUA BANDARI, TUTAKUWA WAJINGA KUKATAA UWEKEZAJI HUU
Nazir Karamagi, mmoja wa watu ambaye ametajwa muda mrefu kuwa mmiliki wa Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena...
Kwanza itambulike kwamba SIO KWELI kwamba Watanzania hatutaki wawekezaji kutoka nje wala hatutaki kubinafsisha mifumo yetu ya uendeshaji. La ubinafsishaji unaruhusiwa Tanzania ndo maana huko...
#Update KESI YA BANDARI.
Majaji wanaingia muda huu saa 09: 20
MAJAJI watatu;
1. Hon. Ndunguru
2. Hon. Ismail
3. Hon. Kagomba
Wote wameinama wanaandika
Anasimama wakili wa serikali...
Majaji wanaingia muda huu saa 09: 44 asubuhi.
MAJAJI watatu;
1. Hon. Ndunguru
2. Hon. Ismail
3. Hon. Kagomba
Wote wameinama wanaandika
Anasimama wakili wa serikali kutambulisha mawakili wa...
Wananchi wamejitokeza katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya kufuatilia kesi ya kupinga kusainiwa kwa mkataba wa bandari iliyofunguliwa na wanasheria Boniface Mwabukusi na mwenzake Philip...
Nakushukuru sana Rais kwa kuwa unasoma na kufuatulia mambo yote yanayoendelea nchini na Mimi Ngungenge nimebahatika kuandika maoni machache ambayo ama wewe binafsi au wasaidizi wako walisoma na...
Viongozi wa juu wa serikali kama ni kweli wajua kwamba "mahakama hazitendi haki" mpaka wakazikwepa ktk mikataba. Sasa hizi mahakama zetu kwanini ziendelee kuwepo na zikiendeshwa kwa gharama...
Nchi ya Uzberkistan inaanza kuibadili Gesi Asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na Gesi ya LPG ya kupikia.
Na Elia Wilinasi Sikanyika
Nchi ya Uzberkistan ina mpango wa...
Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi
MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki ametoa Mifuko 50 ya Simenti kwaajili ya...
Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla,
Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama...
Huu ni zaidi ya utoto na ulemavu wa kukosa tafakuri... Haya yanayoendelea nchini nikiri wazi kuwa pamoja na kwamba kuna matukio ya kutisha ya kuwashambulia wapinzani kwa silaha za moto na silaha...
Habari jf ,
Kwanza kabisa ifahamike IGA hii ni MKATABA sio makubaliano ya kawaida kama yanavyosemwa ,sababu ni makubaliano ya kimaandishi na yana ulinzi wa kisheria .
Pili huu Mkataba Una Ukomo...
Asilimia kubwa ya wanaopinga mkataba (IGA) Hawapingi mkataba (IGA) wa bandari, kwakua ili kupinga mkataba, ni lazima uanze na sheria zitakazo ongoza mkataba kwanza, kabla ya yaliyomo, kwakua...
Tutatue Kwanza Matatizo makubwa ya Watanzania na kamwe tusizitumie hizi Timu Kongwe za Simba na Yanga kama sehemu za Kujitafutia Umaarufu, Kujipendekeza, Kujifichia Mapungufu, Kupoza Machungu yao...
Wale Wazee wa Cargo Stars watakubaliana nami kuwa miamba ya Bandari inatokea Bukoba 😃
CHADEMA Kesho watafungua Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu mjini Bukoba na viongozi Wakuu wote wa mtaa...