Tetesi: CHADEMA kurudi kwenye maridhiano na CCM

olimpio

JF-Expert Member
Apr 5, 2023
402
834
Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.

CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari.

CHADEMA wameona mgogoro huo hauna faida kwa chama chao na ulikua unawagawa wanachama wao. Dkt Slaa pia amesha watarifu vijana wake wa Sauti ya watanzania kuwa rasmi sasa Hakuna mawasiliano na uongozi wa chadema mkuu.

Rai yangu, Dkt Slaa safari ya ACT wazalendo inakuhusu na kila lakheri makamanda kwenye maridhiano tena.
 
Baada ya sarakasi nyingi sana za chadema , hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.
Chadema wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi ,Dkt Slaa na Mdude chadema kwenye harakati zao za bandari.
Chadema wameona mgogoro huo hauna faida kwa chama chao na ulikua unawagawa wanachama wao.
Dkt Slaa pia amesha watarifu vijana wake wa Sauti ya watanzania kuwa rasmi sasa Hakuna mawasiliano na uongozi wa chadema mkuu,
Rai yangu , Dkt Slaa safari ya ACT wazalendo inakuhusu na kila lakheri makamanda kwenye maridhiano tena
MAMA ALISEMA STUPID
 
Hiu imekaa kiudaku zaidi
 
Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.

CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari.

CHADEMA wameona mgogoro huo hauna faida kwa chama chao na ulikua unawagawa wanachama wao. Dkt Slaa pia amesha watarifu vijana wake wa Sauti ya watanzania kuwa rasmi sasa Hakuna mawasiliano na uongozi wa chadema mkuu.

Rai yangu, Dkt Slaa safari ya ACT wazalendo inakuhusu na kila lakheri makamanda kwenye maridhiano tena.
Akina mwambukutu na mdudu je wameachwa kwenye mataa

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.

CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari.

CHADEMA wameona mgogoro huo hauna faida kwa chama chao na ulikua unawagawa wanachama wao. Dkt Slaa pia amesha watarifu vijana wake wa Sauti ya watanzania kuwa rasmi sasa Hakuna mawasiliano na uongozi wa chadema mkuu.

Rai yangu, Dkt Slaa safari ya ACT wazalendo inakuhusu na kila lakheri makamanda kwenye maridhiano tena.
Kama wanarud kwaajil ya mamb ya msingi yenye tija its okay!!
 
Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.

CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari.

CHADEMA wameona mgogoro huo hauna faida kwa chama chao na ulikua unawagawa wanachama wao. Dkt Slaa pia amesha watarifu vijana wake wa Sauti ya watanzania kuwa rasmi sasa Hakuna mawasiliano na uongozi wa chadema mkuu.

Rai yangu, Dkt Slaa safari ya ACT wazalendo inakuhusu na kila lakheri makamanda kwenye maridhiano tena.
Sasa ACT si ndio wako chumbani kwa bibi kabisa?
 
Uongo hautakuondolea umasikini ulionao
 
Back
Top Bottom