Raisi wetu Samia Suluhu, tumwombee dua gani Watanzania ili aachane na Viongozi wasiofaa?

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,941
4,129
Tanzania ni nchi moja nzuri sana tena saaana, ila haijabahatika kuwa na mwendelezo wa viongozi wazuri wenye uchungu na nchi

Ukweli napenda nisisitize, 17 march 2023, TANZANIA ilipoteza kiongozi mwenye TANZANIA yake hata kama hatutakubaliana wote.

Kwa mara ya kwanza nilisikia na kuona maajabu makubwa yakitendeka katika nchi yangu hii ya Tanzania.

Inahitaji uthubutu wa hali ya juu mno na nidhamu ya kutosha kufanya yale JPM alifanya kwa huo muda mfupi!

Jiji la Dar, lilibadirika na kuwa la tofauti kabisa, Mwanza nayo ilipendeza saana, kukazaliwa na jiji jipya la Dodoma ambapo yaliyofanyika Dodoma kila mmoja hahitaji kusimliwa! Stend za maana kila mkoa na wilaya, vituo vya afya na hospital za rufaa zilijengwa na zingine kuanzishwa,

Kubwa zaidi, suala la umeme JKNHP ndio mwisho wa matatizo yetu, SGR nayo, doh! Mengine mtasema nyie,

Tanzania, Tunahitaji kina JPM watano tu, ili kuwa na uchumi mzuri kama Singapore!

Nirudi kwenye topic, Raisi wetu Mama Samia, tupige magoti mpaka lini kuombea uongozi wako?

Mbona ambao Mungu anakuonyesha hawafai kuwa kwenye safu yako ya kukusaidia unawatoa na kisha kuwapangia pahala pengine na hawaachi kuharibu?

Mh mtukufu Rais wetu Msikivu Samia, huwenda ungefanikiwa sana ikiwa ungeliondoa uswahiba kwenye kazi

Baba mwenye kujali, hufikiri sana badaye yake na familia yake, katika kuhangaika kwake, yuko tayari kumtenga hata mwanaye inapotokea anafuja mali, huyo ndo baba bora!

Katika ujenzi wa Taifa letu, kiongozi mzuri, hahitaji kuonea aibu wanaoharibu na kufuja fedha za walipa kodi, walipa kodi ndio hao wanaokula mlo mmoja! Mh Rais, nina uhakika, una watu zaidi ya Milioni 20+ ambao ni wasomi wazuri na wenye kukufaaa

Usikae na hao hao kina kipara ambao walishakuwa kama kuku aliyegoma, kutotoa kwake ni hadi umemchoma mdomo, fumbua macho mheshimiwa, hao unaowabadirisha badirisha, hawatabadirika kamwe, tupa kule na kuweka wengine!

Hata kama wakishindikana wote hapo bungeni, kuna walio mtaani, pangua na kupanga upya!

Na ikiwa itakuwa hivi hivi, basi lawama zote ni juu yako!
 
Ukweli napenda nisisitize, 17 march 2023, TANZANIA ilipoteza kiongozi mwenye TANZANIA yake hata kama hatutakubaliana wote

Kwa mara ya kwanza nilisikia na kuona maajabu makubwa yakitendeka katika nchi yangu hii ya Tanzania

Inahitaji uthubutu wa hali ya juu mno na nidhamu ya kutosha kufanya yale JPM alifanya kwa huo muda mfupi!

Jiji la Dar, lilibadirika na kuwa la tofauti kabisa, Mwanza nayo ilipendeza saana, kukazaliwa na jiji jipya la Dodoma ambapo yaliyofanyika Dodoma kila mmoja hahitaji kusimliwa! Stend za maana kila mkoa na wilaya, vituo vya afya na hospital za rufaa zilijengwa na zingine kuanzishwa,

Kubwa zaidi, suala la umeme JKNHP ndio mwisho wa matatizo yetu, SGR nayo, doh! Mengine mtasema nyie,

Tanzania, Tunahitaji kina JPM watano tu, ili kuwa na uchumi mzuri kama Singapore!

Nirudi kwenye topic, Raisi wetu Mama Samia, tupige magoti mpaka lini kuombea uongozi wako?

Mbona ambao Mungu anakuonyesha hawafai kuwa kwenye safu yako ya kukusaidia unawatoa na kisha kuwapangia pahala pengine na hawaachi kuharibu?

Mh mtukufu Rais wetu Msikivu Samia, huwenda ungefanikiwa sana ikiwa ungeliondoa uswahiba kwenye kazi

Baba mwenye kujali, hufikiri sana badaye yake na familia yake, katika kuhangaika kwake, yuko tayari kumtenga hata mwanaye inapotokea anafuja mali, huyo ndo baba bora!

Katika ujenzi wa Taifa letu, kiongozi mzuri, hahitaji kuonea aibu wanaoharibu na kufuja fedha za walipa kodi, walipa kodi ndio hao wanaokula mlo mmoja! Mh Rais, nina uhakika, una watu zaidi ya Milioni 20+ ambao ni wasomi wazuri na wenye kukufaaa

Usikae na hao hao kina kipara ambao walishakuwa kama kuku aliyegoma, kutotoa kwake ni hadi umemchoma mdomo, fumbua macho mheshimiwa, hao unaowabadirisha badirisha, hawatabadirika kamwe, tupa kule na kuweka wengine!

Hata kama wakishindikana wote hapo bungeni, kuna walio mtaani, pangua na kupanga upya!

Na ikiwa itakuwa hivi hivi, basi lawama zote ni juu yako!
MENE MENE TEKELI NA PERESI!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania ni nchi moja nzuri sana tena saaana, ila haijabahatika kuwa na mwendelezo wa viongozi wazuri wenye uchungu na nchi

Ukweli napenda nisisitize, 17 march 2023, TANZANIA ilipoteza kiongozi mwenye TANZANIA yake hata kama hatutakubaliana wote.

Kwa mara ya kwanza nilisikia na kuona maajabu makubwa yakitendeka katika nchi yangu hii ya Tanzania.

Inahitaji uthubutu wa hali ya juu mno na nidhamu ya kutosha kufanya yale JPM alifanya kwa huo muda mfupi!

Jiji la Dar, lilibadirika na kuwa la tofauti kabisa, Mwanza nayo ilipendeza saana, kukazaliwa na jiji jipya la Dodoma ambapo yaliyofanyika Dodoma kila mmoja hahitaji kusimliwa! Stend za maana kila mkoa na wilaya, vituo vya afya na hospital za rufaa zilijengwa na zingine kuanzishwa,

Kubwa zaidi, suala la umeme JKNHP ndio mwisho wa matatizo yetu, SGR nayo, doh! Mengine mtasema nyie,

Tanzania, Tunahitaji kina JPM watano tu, ili kuwa na uchumi mzuri kama Singapore!

Nirudi kwenye topic, Raisi wetu Mama Samia, tupige magoti mpaka lini kuombea uongozi wako?

Mbona ambao Mungu anakuonyesha hawafai kuwa kwenye safu yako ya kukusaidia unawatoa na kisha kuwapangia pahala pengine na hawaachi kuharibu?

Mh mtukufu Rais wetu Msikivu Samia, huwenda ungefanikiwa sana ikiwa ungeliondoa uswahiba kwenye kazi

Baba mwenye kujali, hufikiri sana badaye yake na familia yake, katika kuhangaika kwake, yuko tayari kumtenga hata mwanaye inapotokea anafuja mali, huyo ndo baba bora!

Katika ujenzi wa Taifa letu, kiongozi mzuri, hahitaji kuonea aibu wanaoharibu na kufuja fedha za walipa kodi, walipa kodi ndio hao wanaokula mlo mmoja! Mh Rais, nina uhakika, una watu zaidi ya Milioni 20+ ambao ni wasomi wazuri na wenye kukufaaa

Usikae na hao hao kina kipara ambao walishakuwa kama kuku aliyegoma, kutotoa kwake ni hadi umemchoma mdomo, fumbua macho mheshimiwa, hao unaowabadirisha badirisha, hawatabadirika kamwe, tupa kule na kuweka wengine!

Hata kama wakishindikana wote hapo bungeni, kuna walio mtaani, pangua na kupanga upya!

Na ikiwa itakuwa hivi hivi, basi lawama zote ni juu yako!
Haa yeye ndo rabish namba moja amesema mwnyewe samaki huanza KUOZA kutoka kichwani
 
Bila utani Maza nchi imemshinda. Hata hiyo 5 % ya SGR aliyoibakiza JPM imemshinda. Anayetegemea miujiza ya Maza atakuwa anatoa ndoto za Alinacha.
 
Ukweli napenda nisisitize, 17 march 2023, TANZANIA ilipoteza kiongozi mwenye TANZANIA yake hata kama hatutakubaliana wote.
Mwaka huu 2023 kuna kiongozi alipotea? Come on! Mungu wa Mbinguni ni mjuvi wa yote; hakunaga kama yeye. Ashukuriwe kwa kuliponya taifa.
 
Tanzania ni nchi moja nzuri sana tena saaana, ila haijabahatika kuwa na mwendelezo wa viongozi wazuri wenye uchungu na nchi

Ukweli napenda nisisitize, 17 march 2023, TANZANIA ilipoteza kiongozi mwenye TANZANIA yake hata kama hatutakubaliana wote.

Kwa mara ya kwanza nilisikia na kuona maajabu makubwa yakitendeka katika nchi yangu hii ya Tanzania.

Inahitaji uthubutu wa hali ya juu mno na nidhamu ya kutosha kufanya yale JPM alifanya kwa huo muda mfupi!

Jiji la Dar, lilibadirika na kuwa la tofauti kabisa, Mwanza nayo ilipendeza saana, kukazaliwa na jiji jipya la Dodoma ambapo yaliyofanyika Dodoma kila mmoja hahitaji kusimliwa! Stend za maana kila mkoa na wilaya, vituo vya afya na hospital za rufaa zilijengwa na zingine kuanzishwa,

Kubwa zaidi, suala la umeme JKNHP ndio mwisho wa matatizo yetu, SGR nayo, doh! Mengine mtasema nyie,

Tanzania, Tunahitaji kina JPM watano tu, ili kuwa na uchumi mzuri kama Singapore!

Nirudi kwenye topic, Raisi wetu Mama Samia, tupige magoti mpaka lini kuombea uongozi wako?

Mbona ambao Mungu anakuonyesha hawafai kuwa kwenye safu yako ya kukusaidia unawatoa na kisha kuwapangia pahala pengine na hawaachi kuharibu?

Mh mtukufu Rais wetu Msikivu Samia, huwenda ungefanikiwa sana ikiwa ungeliondoa uswahiba kwenye kazi

Baba mwenye kujali, hufikiri sana badaye yake na familia yake, katika kuhangaika kwake, yuko tayari kumtenga hata mwanaye inapotokea anafuja mali, huyo ndo baba bora!

Katika ujenzi wa Taifa letu, kiongozi mzuri, hahitaji kuonea aibu wanaoharibu na kufuja fedha za walipa kodi, walipa kodi ndio hao wanaokula mlo mmoja! Mh Rais, nina uhakika, una watu zaidi ya Milioni 20+ ambao ni wasomi wazuri na wenye kukufaaa

Usikae na hao hao kina kipara ambao walishakuwa kama kuku aliyegoma, kutotoa kwake ni hadi umemchoma mdomo, fumbua macho mheshimiwa, hao unaowabadirisha badirisha, hawatabadirika kamwe, tupa kule na kuweka wengine!

Hata kama wakishindikana wote hapo bungeni, kuna walio mtaani, pangua na kupanga upya!

Na ikiwa itakuwa hivi hivi, basi lawama zote ni juu yako!
Tusali bila kukoma
 
Tusali bila kukoma
JamiiForums-2066617636.jpeg
 
Dua ya kumwombea ni atupishe kwa njia yoyote ile.
 
Unayemtaja unamhitaji wewe peke yako, usisemee watu wengine
 
Nirudi kwenye topic, Raisi wetu Mama Samia, tupige magoti mpaka lini kuombea uongozi wako?

Mbona ambao Mungu anakuonyesha hawafai kuwa kwenye safu yako ya kukusaidia unawatoa na kisha kuwapangia pahala pengine na hawaachi kuharibu?
Unazungukazunguka nini sasa wakati umekwishaeleza yeye mwenyewe hafai. Huku kuuza maneno meeengi, ndiko kutakakombadilisha awe kiongozi mzuri?

Hizo "sara" unazozizungumzia hapa, yule uliyemsifia mwanzo, yeye mlizisalia wapi hadi akawa mzuri?

Huyu hata ungesali sala za aina zote, huwezi kumbadili awe kama alivyo. Hapa unajipotezea wakati tu mwenyewe.

Sasa sikiliza, naona wewe ni kijana mdogo tu, fanya kazi na vijana wenzako wanaojitambua msiendelee kutumiwa na viongozi wa namna hii tuliyo nayo sasa hivi. Jiongezeni, muwatambue viongozi wanao onyesha dalili njema za uzalendo kwa nchi yao. Watieni moyo hawa wajitokeze mbele na muwachague kwa kura nyingi.

Huku kulialia hakuwezi kamwe kusaidia chochote.
 
Back
Top Bottom