Rais Samia amehitimisha Ziara ya Siku tatu Mkoani Mtwara ambayo imekuwa na Mafanikio

MANKA MUSA

JF-Expert Member
Jul 9, 2014
922
1,093
- Ziara imekuwa na Mafanikio Makubwa.

- Azindua Miradi iliyogharimu mabilioni ya Pesa.

- Asema Serikali imedhamiria kufungua Mkoa wa Mtwara kiuchumi.

- Wananchi wamshukuru na Kusema Ziara imekuwa neema kubwa kwenye Mkoa wao.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo September 17,2023 amehitimisha Ziara ya Siku tatu Mkoani Mtwara ambapo Ziara hiyo imekuwa na Mafanikio Makubwa katika kutembelea na Kuzindua Miradi ya Maendeleo.

Akizungumza wakati wa kuhitimisha Ziara hiyo kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Bomani Masasi, Rais Samia ameshukuru Wananchi wa Mtwara kwa ukarimu na ushirikiano walioonyeaha kipindi chote Cha Ziara.

Aidha Rais Samia amewaahidi Wananchi wa Mtwara kuwa Serikali imedhamiria Kuleta Maendeleo kwenye Mkoa huo kwa Kuleta Miadi mingi ya Maendeleo.

Pamoja na hayo Rais Samia amewataka Viongozi anaowateuwa kumuwakilisha vizuri kwenye Maeneo yao kwa kusikiliza na kutatua kero na Changamoto za Wananchi.

Hata hivyo Rais Dkt Samia ametoa wito kwa Wazazi Mkoani humo kuacha kuwacheza watoto wa kike katika umri mdogo kwakuwa imekuwa chanzo Cha mimba za utotoni na badala yake amewataka kutimiza Mila hiyo kwa kuwacheza wakiwa kwenye umri wanaojitambua.

Baada ya kumaliza Ziara ya Kikazi Mkoani Mtwara, Rais Dkt, Samia atakuwa Mkoani Lindi ambapo atatembelea na Kuzindua Miradi mbalimbali ya Maendeleo.View attachment 2752495View attachment 2752496View attachment 2752499View attachment 2752498View attachment 2752497
IMG-20230917-WA0005.jpg
 
Sawa ila baada ya mikutano yake wananchi huwa wanaonyesha rangi halisi mbele ya wabunge wao, na hili akalitazame.
 
Chezea CCM wewe!? Utakuta miradi hiyo ndiyo ileile iliyokwisha funguliwa katika nyakati tofauti na JPM, kiongozi wa mbio za mwenge, makamu wa Rais, waziri mkuu, katibu mkuu wa chama taifa, na kisha itakuja kuzinduliwa tena na naibu waziri mkuu.
 
- Ziara imekuwa na Mafanikio Makubwa.

- Azindua Miradi iliyogharimu mabilioni ya Pesa.

- Asema Serikali imedhamiria kufungua Mkoa wa Mtwara kiuchumi.

- Wananchi wamshukuru na Kusema Ziara imekuwa neema kubwa kwenye Mkoa wao.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo September 17,2023 amehitimisha Ziara ya Siku tatu Mkoani Mtwara ambapo Ziara hiyo imekuwa na Mafanikio Makubwa katika kutembelea na Kuzindua Miradi ya Maendeleo.

Akizungumza wakati wa kuhitimisha Ziara hiyo kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Bomani Masasi, Rais Samia ameshukuru Wananchi wa Mtwara kwa ukarimu na ushirikiano walioonyeaha kipindi chote Cha Ziara.

Aidha Rais Samia amewaahidi Wananchi wa Mtwara kuwa Serikali imedhamiria Kuleta Maendeleo kwenye Mkoa huo kwa Kuleta Miadi mingi ya Maendeleo.

Pamoja na hayo Rais Samia amewataka Viongozi anaowateuwa kumuwakilisha vizuri kwenye Maeneo yao kwa kusikiliza na kutatua kero na Changamoto za Wananchi.

Hata hivyo Rais Dkt Samia ametoa wito kwa Wazazi Mkoani humo kuacha kuwacheza watoto wa kike katika umri mdogo kwakuwa imekuwa chanzo Cha mimba za utotoni na badala yake amewataka kutimiza Mila hiyo kwa kuwacheza wakiwa kwenye umri wanaojitambua.

Baada ya kumaliza Ziara ya Kikazi Mkoani Mtwara, Rais Dkt, Samia atakuwa Mkoani Lindi ambapo atatembelea na Kuzindua Miradi mbalimbali ya Maendeleo.View attachment 2752495View attachment 2752496View attachment 2752499View attachment 2752498View attachment 2752497View attachment 2752500
Sasa ziara ya mama mkoani mtwara itakosaje mafanikia wakati amezindua hospatali kubwa ikayowanyima usingizi TEC kupitia memorandum of understanding haramu? Hospitali ya rufaa iliyozinduliwa itapelekea watu kutotibiwa ndanda, nyangao na peramiho. TEC chali.
 
Fikra duni kabisa.

Hivi kwa upeo wako mdogo, unaamini ni Kanisa ndiyo liliiomba Serikali hospitali zake zitumike na Serikali au ni Serikali ndiyo ililiomba Kanisa?

Ishauri Serikali ivunje MoU na makanisa halafu uone kama hospitali za Kanisa zitatetereka. Kanisa nadhani watafurahia sana hilo litokee ili hospitali zao zirudi kwenye ubora.
 
Anazindua miradi Tena? Si kazi ya mwenge hiyo
🌚🌚🌚🌚🌚🌚
Umeme
umeme
umeme.
umeme
umeme.
umemeeeeeeeeeeee
 
Fikra duni kabisa.

Hivi kwa upeo wako mdogo, unaamini ni Kanisa ndiyo liliiomba Serikali hospitali zake zitumike na Serikali au ni Serikali ndiyo ililiomba Kanisa?

Ishauri Serikali ivunje MoU na makanisa halafu uone kama hospitali za Kanisa zitatetereka. Kanisa nadhani watafurahia sana hilo litokee ili hospitali zao zirudi kwenye ubora.
Serikali ikiachana na kanisa siyo tu litatetereka ila litaporomoka kabisa kijana. Soma John Syvalon na Burgen utaelewa vema dependence ya kanisa kwa serikali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom