Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,151
- 20,321
Miaka 60 ya uhuru ni jambo gani ambalo ccm wanaweza kujivunia wamelifanya na ku accomplish angalau kwa asilimia 60%.
Wale maadui watatu waliotangazwa na Baba wa Taifa ujinga, maradhi na Umaskini vyote viko pale pale.
Umee bado ni kero licha ya kuwepo kwa vyanzo vingi vya uzalishaji.
Tuna ardhi na mito, maziwa na bahari lakini wananchi wetu bado wanashida sana na maji.
Kwenye Elimu wanaofanya vizuri ni watoto wa vigogo wanaosomea shule za wenye nazo.