Ni hasara kubwa kuwa na wanasiasa kama Mbowe wenye kujali matumbo yao

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania?

Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti.

Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili kulinda matumbo yao.
 
Unauliza kudhibiti Tozo, Ufisadi, umeme, wizi wa mali za umma halafu lawama unamrushia Mbowe kwani mbowe ndio kayaleta haya matatizo au CCM.

Tozo - nenda TRA kawalalamikie
Ufisadi - nenda kwa CAG au TAKUKURU kawalalamikie
Umeme - nenda Wizara ya nishati au TANESCO kuwalalamikie
Wizi wa mali za Umma -.Nenda polisi kawalalamikie maana wao wapo kwa ajili ya kulinda mali za umma

Sasa Mbowe hapo anakusaidiaje labda, au unataka kumsumbua Baba wa watu. Fikiria mara mbili kabla ya kuposti Utopolo, mamlaka zipo kazifate. Kura uwapigie CCM, alafu matatizo umpelekee Mbowe.
 
Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania?

Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti.

Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili kulinda matumbo yao.
Mkuu hakuna kazi ngumu kama kuwatetea Watanzania maana hata watanzania wengi wao hawana habari na wala hawaoni kama shida zao zinasababishwa na mipango mibovu ya serikali.

Kuna muda mtu anafika kipindi anaona bora naye ale tu.
 
Nadhani ungewapigia kelele hao walioko madarakani! Mbowe chama chake hakijawahi kushika dola bado! Mkuu hebu tulia kwanza utafakari vizuri utakuja kuona kuwa unamkosea huyo mwamba bila sababu yoyote!
 
Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania?

Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti.

Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili kulinda matumbo yao.
Kwamba Mbowe anajali tumbo, kwa hiyo wanasiasa wa ccm huwa wanajali makalio yao?

Nadhani ndio wachumia tumbo wakubwa na ndio watufikisha hapa tulipo
 
Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania?

Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti.

Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili kulinda matumbo yao.
Yaezekana Mbowe anastahili kupumzika, but mbona hujaainisha sababu na evidence ya haya madai yako? Umeongea kichuki zaid ya facts!! Tafadhali mwanaccm kindakindaki tupe facts.
 
Hata akipisha ccm itaendelea kuwepo, binafsi ni heri ccm iendelee kushika nchi japo ina madhaifu yake kuliko kuongozwa na mtu au chama from kaskazini, never! Bora twendelee na chama chetu kongwe chenye wanachama wengi kutoka ukanda wa pwani, dar, tanga, lindi, mtwara kuja kanda ya ziwa, na Tanzania kwa ujumla
 
Naona wanaokupinga wamesoma title na kutoelewa main content,but mie napingana na hoja ya kwamba mbowe au chadema ni mkombozi jibu kuwa hapana,ukwel jamaa ni selfish ukiwaangalia hata sura zao.
 
Tumpe Tundu Antipas Lisu Uenyekiti

Mbowe miaka 20 yatosha!
Ni ngumu Mbowe kumpisha Lissu.
Nimeanza kuamini kuwa Mbowe ni zaidi tumjuavyo.

Najua Lissu anatambua kuwa tayri yuko cha kike lkn hana namna.

Kuna wenye akili za kuunga kwa superglue hawataelewa lkn Mbowe ni jasusi atauua upinzani polepole
 
Wapinzani halisi tulishamkataa
 
Naona wanaokupinga wamesoma title na kutoelewa main content,but mie napingana na hoja ya kwamba mbowe au chadema ni mkombozi jibu kuwa hapana,ukwel jamaa ni selfish ukiwaangalia hata sura zao.
Sema sura yake
 
Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania?

Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti.

Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili kulinda matumbo yao.
Ungekuwa ww ndio mwenyekiti wa chadema ungefanya nini?

Zaid ya kusema maandamano

Huna ela, Huna jeshi, Huna serikali, utafanya nini?
 
Back
Top Bottom