Ninafikiri lengo lilikuwa kuhakikisha hotuba ya Rais inasikilizwa na kuwafikia wananchi wengi. Mtazamo wangu ninaona hata kwa siku ya leo hawa watawala + tanesco wangefanya uungwani kuwaachia umeme wananchia hasa masikini wasiokuwa na uwezo wa kununua solar na generator. Na kwa kufanya hivyo pia INGEKUWA KUMPA KIPAUMBELE MUNGU . Ni vyema kumuheshimu Mungu kwa vitendo zaidi kuliko maneno ya mdomoni tu.
Ninaamini ingewezekana sana kuipa umuhimu siku ya leo kama ilivyokuwa juzi wakati wa uapisho wa viongozi.
NDIO MAANA MAMBO MENGI YANAKWAMA KWASABABU YA KUTOMPA UMUHIMU MWENYEZI MUNGU KWA VITENDO BALI WATAWALA WA NCHI NDIO WANAPEWA UMUHIMU ZAIDI. TAIFA LA MUNGU HATA SIKU ZA IJUMAA NA JUMAPILI WASINGESUBUTU KUKATA UMEME.