Hatuioni courage of leadership kwenye sakata la mafuta

John Kwambaza

Member
Jul 15, 2021
6
3
Mafuta ya kuendeshea injini na mitambo yaani diesel na petrol yamekuwa ni bidhaa adimu na ghali. Mafuta ndio yanayowezesha nguvu ya kuendeshea uchumi ifanye kazi.

Kwahiyo uhaba na uncertainty ya bei yake ni muhari kwa uchumi. Sipuuzi hali ya soko la mafuta kimataifa kwa Sasa, lakini angalau naikumbuka dictatorial character ya Kiongozi wetu aliyefariki najua kuna jambo angefanya.

Muda mwingine uhalisia wa maisha unataka viongozi kung'ata kwa sababu bila hivyo wafanyibiashara watawaonea Sana wananchi. Na Sasa naikumbuka SoMo la Ujasiri wa Kiongozi ambalo mzée Mkapa alitufundisha.
 
ANgeuongoza ulimwengu kuwa wa kwanza kununua mafuta ya russua.
 
Mafuta ya kuendeshea injini na mitambo yaani diesel na petrol yamekuwa ni bidhaa adimu na ghali. Mafuta ndio yanayowezesha nguvu ya kuendeshea uchumi ifanye kazi.

Kwahiyo uhaba na uncertainty ya bei yake ni muhari kwa uchumi. Sipuuzi hali ya soko la mafuta kimataifa kwa Sasa, lakini angalau naikumbuka dictatorial character ya Kiongozi wetu aliyefariki najua kuna jambo angefanya.

Muda mwingine uhalisia wa maisha unataka viongozi kung'ata kwa sababu bila hivyo wafanyibiashara watawaonea Sana wananchi. Na Sasa naikumbuka SoMo la Ujasiri wa Kiongozi ambalo mzée Mkapa alitufundisha.
Kiongozi aliefeli kila changamoto husingiziizia
Watu wengine ,kiongozi imara hutatua changamoto ,.tz tuna uhaba wa dolla uhaba wa mafuta uhaba wa umeme ,ni kipi hasa serikali hii inayojiendesha kwa kodi zetu inaweza kukisimamia
 
Mafuta ya kuendeshea injini na mitambo yaani diesel na petrol yamekuwa ni bidhaa adimu na ghali. Mafuta ndio yanayowezesha nguvu ya kuendeshea uchumi ifanye kazi.

Kwahiyo uhaba na uncertainty ya bei yake ni muhari kwa uchumi. Sipuuzi hali ya soko la mafuta kimataifa kwa Sasa, lakini angalau naikumbuka dictatorial character ya Kiongozi wetu aliyefariki najua kuna jambo angefanya.

Muda mwingine uhalisia wa maisha unataka viongozi kung'ata kwa sababu bila hivyo wafanyibiashara watawaonea Sana wananchi. Na Sasa naikumbuka SoMo la Ujasiri wa Kiongozi ambalo mzée Mkapa alitufundisha.
Jambo gani wakati huyo ndio angeharibu kabisaaa Kwa mikurupuko yake.

Aliharibu kwenye korosho sembuse mafuta na pesa angetia wapi alikimbiwa na investors wote?

Mwendazake ni mzuri akisimamiwa sio kujisimmia ,
 
Hata Samia wakati anasimamiwa(makamu) watu walimuona mzuri ila sasa wanamuona tofauti.
 
VP hana kitu Cha kuonesha maana hana majukumu ya kiutendaji.

Samia ni mtulivu Huwa hakurupuki Wala haropoki na pesa anazo,Tanzania ni kimbilio la wawekezaji Sasa hivi,au unajifanya hujaekia taarifa ya TRA au siyo? 🤪🤪
 
Point yangu ni kwamba wakati Samia akiwa makamu wa rais jinsi wengine walivyokuwa wakimchukulia ni tofauti na sasa ambapo amekuwa rais kabisa, sasa hivi ndio tumeweza kuona ubora wake na udhaifu wake ni upi tofauti alivyokuwa anakata utepe na kutumwa na Magufuli.
 
Back
Top Bottom