Rostam Aziz, Lowassa, Mtemi Chenge ni Miamba iliyogeuka na kuwa Marafiki wa Shujaa Magufuli!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,115
Kwenye Siasa hakunaga adui wala Rafiki wa kudumu

Ila kwenye Vicoba kama pale Chadema ndio Uadui unakuwaga wa Milele

Mungu wa mbinguni mbariki Dr Slaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐ŸŒŸ๐Ÿ”ฅ
 
Unamuota magufuli lkn mifupa haikusaidii lolote, Samia kesha watosa na mmetoseka ki kweli kweli! angalau wewe mkono unakwenda kinywani huko uliko sijui wapi? kwa mpalange?
 
Samia kashawashitukia walamba asali sasa anarejea kwa watu wa hapa kazi tu.
 
Unamuota magufuli lkn mifupa haikusaidii lolote, Samia kesha watosa na mmetoseka ki kweli kweli! angalau wewe mkono unakwenda kinywani huko uliko sijui wapi? kwa mpalange?
Boniface Andekisye Kajunjumele anaoipenda Chadema kuliko wewe!
 
Hakukubaliana na ukaribisho wa Lowassa na kumtosa Dr Slaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿผ
Kumbe na wewe ni wa hivyo hivyo. mikutano yote ya kumleta lowasa ilikuwa initiated na Slaa! Mke wake akataka agombee urais na mume akamuogopa mke,,,....yaliyoendelea ndiyo hayo.....
 
Mbowe: Nimebadili gia angani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
 
Back
Top Bottom