MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Wananchi nawasabahi.Nadhani yaliyotokea 2015 wakati nchi inaelekea kwenye uchaguzi mkuu kila mtu ni shahidi.
Dkt. Slaa alikuwa katibu mkuu wa CHADEMA chama kikubwa cha upinzani na mikakati yote ya ndani ya chama ya kumpata mgombea urais makini huyo Dr. Slaa alishiriki kwa asilimia 100.
Chadema ilihitaji mgombea mwenye nguvu na mvuto kwa wapiga kura na bahati nzuri walifanikiwa kumpata mgombea ambaye aliwawezesha kupata idadi kubwa ya kura na wabunge madiwani wengi na kusababisha CCM ya Kinana, Nape na Makamba wajifungie Masaki kuchakachua kura kuzipunguza kura za CHADEMA ili CCM ishinde .
Yote haya yanatoa Dr. Slaa alikuwa kaitukana CHADEMA, kaidhalilisha CHADEMA
Mbele ya waandishi wa habari akiwa Serena hotel huku kasimamia na bw Mwakyembe.
Alichoahidiwa ni siri yake na wahongaji wake na mwishowe alitunikiwa ubalozi.
Huyo ndio Dr. Slaa aliyeisaliti CHADEMA katikati ya vita ngumu kwa vipande vya fedha na ubalozi.
Mungu sio athumani ujio wa Rais s
Samia umemuumbua Dr. Slaa kwani amemlipa kwa matendo yake ya usaliti kwa kumvua ubalozi asante sana Mama .
Dkt. Slaa asiaminiwe tena ni askari msaliti anayenunulika kwa bei yoyote na wakati wowote asiaminiwe kamwe.