Ni nani huyo asiye na adabu aliyemtukana Rais wetu?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,552
Hotuba ya Rais Samia imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.

Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu?

Huwezi kusikia Lissu anatukana, sanasana atakwambia ukweli tu na hata ukimpeleka mahakamani hutamkuta na hatia, utaishia kuaibika wewe.

Huyo mtu aliyemtusi Rais wetu anapaswa ajifunze kwa Lissu jinsi ya kufanya siasa za kweli zinazogusa maisha ya walala hoi wanao onewa.

Pole sana Mheshimiwa Rais wetu.
 
Habari boss Mkuu,

Napenda kukupa taarifa kuwa Sisi Wananchi wote kwa pamoja tukiongozwa na Viongozi wetu Wakuu Chini ya Rais Shupavu tumeridhia kwa kauli moja kukupatia wewe Boss la DP World Bandari zetu zote kuanzia ya Mtwara, Tanga, DSM, Mbaba bay, hadi zile za Nchi Kavu Pamoja na zote za Maziwa Makuu mziendeshe hata baada ya Miaka 100 🤪
 
Asanteni sana, ntawaletea tende na kifaa cha kuangalia mwezi kulipa fadhila.
 
Habari boss Mkuu,

Napenda kukupa taarifa kuwa Sisi Wananchi wote kwa pamoja tukiongozwa na Viongozi wetu Wakuu Chini ya Rais Shupavu tumeridhia kwa kauli moja kukupatia wewe Boss la DP World Bandari zetu zote kuanzia ya Mtwara, Tanga, DSM, Mbaba bay, hadi zile za Nchi Kavu Pamoja na zote za Maziwa Makuu mziendeshe hata baada ya Miaka 100 🤪
Boss kumbe naee una majungu?😅😅😅
 
Hotuba ya Mheshimiwa Rais imenigusa sana, nataka kufahamu huyo aliye mtukana.

Kwanini Wanasiasa wasijifunze kuendesha siaza za kistaarabu kama anavyofanya Tundu Lissu?

Huwezi kusikia Lissu anatukana, sanasana atakwambia ukweli tu na hata ukimpeleka mahakamani hutamkuta na hatia, utaishia kuaibika wewe.

Huyo mtu aliyemtusi Rais wetu anapaswa ajifunze kwa Lissu jinsi ya kufanya siasa za kweli zinazogusa maisha ya walala hoi wanao onewa.

Pole sana Mheshimiwa Rais wetu.

Mods huu uzi unajitegemea, na ni maoni yangu.
Lisu ndo kinara wa matusi. Alimtukana mpaka mwendazake kwamba ni dictator uchwara. Halafu akamtukana Samia eti akili yake ni matope. Siku zake zinahesabika mana hakuna siasa za kishamba kama zile
 
Ajatukanwa bwana msiwe wanafiki mnajua alichokifanya,uwezi kuja Tanganyika ukauza mali zetu kisa rais aiwezekani kabisa eti shamba la bibi. Kauze pemba.
 
Lisu ndo kinara wa matusi. Alimtukana mpaka mwendazake kwamba ni dictator uchwara. Halafu akamtukana Samia eti akili yake ni matope. Siku zake zinahesabika mana hakuna siasa za kishamba kama zile
Akili matope ni tusi? Hata Magufuli alisema kuna mikataba ambayo anaye saini ni Kichaa, Lissu akatumia busara ya kupunguza ukali wa maneno.
 
Back
Top Bottom