Exile
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 1,406
- 3,363
Huu umeme umekuwa kero sana shughuli za watu zimesimama viwanda vinashindwa kufanya kazi ndo mtegemee maendeleo?
Wananchi tungekuwa serious CCM 2025 ingebidi waachie serikali kivyovyote vile hata wangeiba kura naamin nguvu ya wananchi ingeitoa.
Hata nyie chawa wa serikali mnaoipamba serikali ya mama anaupiga mwingi mnaishi ikulu au kwenye jamii yetu inatatizika na umeme, mwambieni awekee nguvu kwenye umeme sio uteuzi na utenguzi tu wakati wananchi tunashindwa kufanya shughuli. The Boss, FaizaFoxy THE BIG SHOW ,