Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Abood amefanya ziara ya kuzungukia mitaa na vijiwe mbalimbali

Oct 8, 2023
37
17
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini MHE ABOOD amefanya ziara ya kuzungukia mitaa na vijiwe mbalimbali kwaajili ya kuzungumza na wananchi wake pamoja na kupokea na kutatu kero za wananchi wake.

KIJIWE CHA IRINGA ROAD; Mhe Mbunge amefika kijiweni hapo na kukutana na wananchi pamoja na wafanya biashara wadogo wadogo wanaojiushisha na MAMA LISHE, BODABODA, MACHINGA PAMOJA NA WAUZA KOKOTO NA MCHANGA. Mhe Mbunge ameongea nao na kusikiliza kero zao, baada ya kuwasikiliza ndipo Mhe Abood akawashukuru wananchi kwa kuendelea kujituma kufanya kazi ili kuongeza pato la Taifa. Mhe Mbunge amepokea kero zao na baadhi ya kero amezitatua papo kwa papo na zingine zilizoitaji ufatiliaji amesema kuwa ataenda kufatilia kwenye mamlaka husika.

KIJIWE CHA BARAKUDA; Mhe Abood amefika kwenye kijiwe cha barakuda, akakutana na wananchi wa maeneo hayo wakiwemo Bodaboda na wajasiliamari. Mbunge ndipo alianza kusikiliza kero zao ambazo kero zote zilizotolewa hapo Barakuda amezitatua papo kwa papo.

MTAA WA LUGALA; Mhe Abood amefika mtaa wa Lugala, akatembelea sehemu ambapo panachimbwa kisima cha maji. Kisima hicho kitakuwa na uwezo wa kutoa maji takribani Lita elfu kumi (10,000) kwa Lisaa, kisima hicho kitawanufaisha wananchi wa Mtaa huwo kwa idadi kubwa.

ZIARA INAENDELEA JIMBONI
IMG_20231009_134759_100.jpg
IMG_20231009_134913_490.jpg
 
Mwambie tangu Ijumaa hakuna huduma ya maji safi hapa Morogoro mjini.
 
View attachment 2777217View attachment 2777218
KIJIWE CHA IRINGA ROAD; Mhe Mbunge amefika kijiweni, Iringa Road kuelekea Magadu, hospitali ya jeshi mpaka Mzumbe barabara ni mbovu haina lami japo imo kwenye eneo la SUA, Jeshi na Mzumbe, pia ni mapori matupu.
 
Back
Top Bottom