Maamuzi ya Rais Samia kubadili jina la Chuo cha Diplomasia kuwa Dr. Salim Ahmed Salim centre for Foreign Relation yapo sawa kidiplomasia?

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
Wakuu heshima kwenu!

Kwanza nianze kwa kutoa historia fupi ya chuo hiki ambacho kipo Tanzania ila kilianzishwa na kuliendeshwa kwa ushirikiano mkubwa kati ya serikali mbili za Tanzania na Msumbiji.

Najaribu kuwaza kuwa maamuzi ya kubadili jina ni ya pande mbili hizi au upande hodhi ulikurupuka?

Je, hili linaweza kuwa na athari gani kwa wenzetu wa Msumbiji ambao wamepuuzwa?

Namkubali Dr Salim ila kwa hili ninapata shaka kama lipo Sawa kidiplomasia.

Pia soma

Screenshot_20231002-101609.png
 
Wakuu heshima kwenu!
Kwanza nianze kwa kutoa historia fupi ya chuo hiki ambacho kipo Tanzania ila kilianzishwa na kuliendeshwa kwa ushirikiano mkubwa kati ya serikali mbili za Tanzania na Msumbiji.
Najaribu kuwaza kuwa maamuzi ya kubadili jina ni ya pande mbili hizi au upande hodhi ulikurupuka?
Je hili linaweza kuwa na athari gani kwa wenzetu wa Msumbiji ambao wamepuuzwa?
Namkubali Dr salim ila kwa hili ninapata shaka kama lipo Sawa kidiplomasia
Hamna tatizo Chuo chenyewe umuhimu wake unaishia hapa Tanzania labda na Msumbiji. Nobody cares.
 
Wakuu heshima kwenu!
Kwanza nianze kwa kutoa historia fupi ya chuo hiki ambacho kipo Tanzania ila kilianzishwa na kuliendeshwa kwa ushirikiano mkubwa kati ya serikali mbili za Tanzania na Msumbiji.
Najaribu kuwaza kuwa maamuzi ya kubadili jina ni ya pande mbili hizi au upande hodhi ulikurupuka?
Je hili linaweza kuwa na athari gani kwa wenzetu wa Msumbiji ambao wamepuuzwa?
Namkubali Dr salim ila kwa hili ninapata shaka kama lipo Sawa kidiplomasia
Hakubadili jina kakipa jina.
 
Mi nadhani lingebaki lilelile la mwanzo CHUO KIKUU CHA MASHUJAA WA AFRICA na actually ndivyo kinavyoitwa ingesaund good sana.

Hii ya Center for foreign Relations CFR au chuo cha diplomasia sijui ilitoka wap
 
Wakuu heshima kwenu!
Kwanza nianze kwa kutoa historia fupi ya chuo hiki ambacho kipo Tanzania ila kilianzishwa na kuliendeshwa kwa ushirikiano mkubwa kati ya serikali mbili za Tanzania na Msumbiji.
Najaribu kuwaza kuwa maamuzi ya kubadili jina ni ya pande mbili hizi au upande hodhi ulikurupuka?
Je hili linaweza kuwa na athari gani kwa wenzetu wa Msumbiji ambao wamepuuzwa?
Namkubali Dr salim ila kwa hili ninapata shaka kama lipo Sawa kidiplomasia
Mkuu Chuo chetu hiki kwa sasa kinamilikiwa na Serikali ya Tanzania kwa 100%.

Means Mozambique walishachukua fito zao.
 
Back
Top Bottom