Tuepushe ujengaji wa chuki kwenye taifa letu

passioner255

JF-Expert Member
Apr 22, 2019
5,888
11,370
Haya mambo yanatokea Gaza na Israel ni matokeo ya kujengwa kwa chuki. Watu wasipopewa haki zao watajenga chuki dhidi ya wanaozuia hiyo haki. Kwa mfano kwenye nchi hii kuna mambo mengi yanaendelea yanayoweza kujenga chuki.

Mfano kuna umasikini mkubwa, hali mbaya ya uchumi , huduma za kijamii bado ni mbovu,utoaji wa haki kuwa mmbovu Nk huku watu tukishuhudia ufisadi mkubwa wa mali za umma. Yaani CCM(chama tawala) itende haki kwa watanzania au siku moja watu watachoka na kutafuta haki kwa nguvu.
 
Chuki lazima iwepo wakati ww unashindia mihogo na makodi kibao na mtozo ,wahuni pale juu kama akina nape ,mwigulu ,saa 100 na machawa wake wanatapanya hela za wananchi halafu wanataka tuwe wazalendo
 
Back
Top Bottom