Wilaya ya Rorya yaanzisha Program ya kufuata Wananchi, yapewa jina la 'POPOTE TUNAKUFIKIA'

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Wilaya ya Rorya imeanzisha program ya kuwafikia Wananchi Vijijini inayoitwa 'POPOTE TUNAKUFIKIA' ambayo imelenga kusogeza huduma karibu na Wananchi ambao hutembea umbali mrefu kufata huduma.

Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka amesisita wataendelea kutekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ya kuendelea kutoa huduma kwa Wananchi, ambapo Wilaya ya Rorya imetenga wiki Moja kila mwezi kushirikiana na Taasisi, Idara na vitengo vyote vitoke kwenda kuhudumia Wananchi.
 
Naam mambo kama haya ni mazuri sana, mkuu wa wilaya akafanye kweli
 
Back
Top Bottom