CCM ya sasa ni alama ya Uovu

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,559
41,075
Ukizungumzia rushwa, CCM ndiyo nyumbani kwake.

Ukizungumzia mbinu chafu za kishetani ili kupata vyeo, including ushirikina, kwa CCM ni jambo la kawaida.

Kunyanyasa watu ili mtu apate cheo (ref. majimbo yote ya kupita bila kupingwa), kwa CCM huonekana ni ushujaa.

Wizi, upendeleo, ufisadi ni tabia za kuitambulisha CCM kuliko kitu chochote.

Haya yanayoitambulisha CCM, bila shaka, inaashiria CCM inaishi na shetani. Ndiyo maana ni nadra sana kumwona mtu anayemwabudu na kumwamini Mungu wa kweli, ambaye anasisitiza upendo wa kweli baina ya wanadamu, halafu awe kada wa CCM.

Wanaiba pesa za umma bila ya kuwafikiria watu maskini wanaolipishwa kodi hata kwenye mapato yao duni kabisa (report za CAG huthibitisha jinsi wakubwa wa CCM wanavypiba na kufuja pesa ya umma, na chama chao kikiwabariki maana imekuwa kama itikadi yao).

Hazina ya wananchi, huporwa na CCM ili ikatumike katika kutekeleza uovu wa kwenda kuwahonga wapiga kura wakati wa uchaguzi (Hayati Mkapa alikiri hilo na kujutia kuwezesha uovu huo akiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM. Mungu mwenye huruma amjalie msamaha kamili kwa majuto yake siku chache kabla ya kuhitimisha maisha yake ya Duniani).

Kwa sasa, CCM ni alama ya uovu. Jitengeni na muovu ili mpokee baraka.
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Uko sahihi,
Sahihi Sana.
Rushwa, mauaji, ushirikina, hongo, fitina huwezi kuvitenganisha na CCM ya Sasa.
 
Uovu una mwisho wake, kama naziona dalili za mwisho ziko wazi sana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama kwa Sasa kina genge la uhalifu linalozidi CCM.
Anza na yale yanayoumiza wanaoitwa wanyonge:

Wizi, ubadhirifu, uzembe kutojalimasilahi ya umma, matumizi mabaya ya madaraka, upendeleo, chuki kwa wasio ccm, uongo, uzinzi, uasherati, kupora wake za watu, kipora haki za wasio na nguvu kama walivyofanyiwa wamasai nakadhalika
Njoo Sasa Kwa Yale yanayoumiza wazito kama akina Mbowe Lissu na wengine wasioamini katika CCM

Utekaji, utesaji, kubambikizia kesi, kusingizia uongo, kuwanyima haki zao za msingi, kuua, kuwapoteza kwa kutumia kikundi cha wasiojulikana , kuharibu mali zao, na kadhalika

Njoo kwa taifa Zima sasa:
Kuuza mali za umma, kuiba Mali za umma, matumizi mabaya ya Mali za umma, kuficha taarifa za Ukaguzi WA Mali za umma, kipoteza ushahidi wa wizi WA Mali za umma, kizuia mijadara huru juu ya ubadhirifu wa Mali za umma, kuahirisha mijadara ya taarifa za CAG, Kupika data za uongo kwa ajili ya kuficha wizi, kusaini mikataba mibovu ya ukodishaji wa Mali za umma, kuiba maliza umma kama magari na mashine na kuyabadirisha usajiri, kuiba fedha za serikali na kuzificha nje ya nchi na kadharika

Hitimisho:CCM NDIYE BABA WA UOVU WOTE HAPA TANZANIA. SIKU TUKIFANIKIWA KUONDOKANA NA HILI JINAMIZI ITAKUWA MWAZO WA UKOMBOZI WETU KAMA TAIFA.
 
Chama cha Maigizo(CCM)
 
Umenifurahisha kwa uzi wako na ni ukweli usiopingika kuwa ccm ni chama cha mashetani "a satanic party".
 
Naona Umeamka na pombe kichwani na kuamua kuja nazo hapa jukwaani kwa kuandika andika tu vitu .
Wenzio wenye akili wanajadili hoja, na hata wasipokubaliana, wanaandika wanachoamini hakipo sahihi. Wewe punguani unayefikiria pombe wakati wote, unaweka takataka kwenye hoja.

Wewe pumzika. Acha wenye akili timamu waendelee kuchangia.
 
Sidhani kama kwa Sasa kina genge la uhalifu linalozidi CCM.
Anza na yale yanayoumiza wanaoitwa wanyonge:

Wizi, ubadhirifu, uzembe kutojalimasilahi ya umma, matumizi mabaya ya madaraka, upendeleo, chuki kwa wasio ccm, uongo, uzinzi, uasherati, kupora wake za watu, kipora haki za wasio na nguvu kama walivyofanyiwa wamasai nakadhalika
Njoo Sasa Kwa Yale yanayoumiza wazito kama akina Mbowe Lissu na wengine wasioamini katika CCM

Utekaji, utesaji, kubambikizia kesi, kusingizia uongo, kuwanyima haki zao za msingi, kuua, kuwapoteza kwa kutumia kikundi cha wasiojulikana , kuharibu mali zao, na kadhalika

Njoo kwa taifa Zima sasa:
Kuuza mali za umma, kuiba Mali za umma, matumizi mabaya ya Mali za umma, kuficha taarifa za Ukaguzi WA Mali za umma, kipoteza ushahidi wa wizi WA Mali za umma, kizuia mijadara huru juu ya ubadhirifu wa Mali za umma, kuahirisha mijadara ya taarifa za CAG, Kupika data za uongo kwa ajili ya kuficha wizi, kusaini mikataba mibovu ya ukodishaji wa Mali za umma, kuiba maliza umma kama magari na mashine na kuyabadirisha usajiri, kuiba fedha za serikali na kuzificha nje ya nchi na kadharika

Hitimisho:CCM NDIYE BABA WA UOVU WOTE HAPA TANZANIA. SIKU TUKIFANIKIWA KUONDOKANA NA HILI JINAMIZI ITAKUWA MWAZO WA UKOMBOZI WETU KAMA TAIFA.
Hakika umenena na kufafanua vyema. Sidhani kuna anayeweza kuukana ukweli uliouweka, kwa kuweka hoja zenye nguvu.
 
Mkuu hapo sijazungumzia uchaguzi:

Kuna kuingiza kura fekikwenye sanduku la kura, kteka wagombea wa upinzani wanaporudisha fomu, kupita bila kupingwa, kuwanyima wapinzani barua za mawakal(ref yule shetani Kagurumujuli alichofanya kikasababisha kifo cha Acquerina) kuiba masanduku ya kura na kukimbia nayo, Tume ya ccm kutojibu malalamiko ya ya wananchi, kuvuruga kampeni za wapinzani, kwazuia wapinzani kufanya kampeni, kutangaza washindi feki, na mbinu zingine chafu. Actually shetani amepiga kambi Lumumba
 
Ukizungumzia rushwa, CCM ndiyo nyumbani kwake.

Ukizungumzia mbinu chafu za kishetani ili kupata vyeo, including ushirikina, kwa CCM ni jambo la kawaida.

Kunyanyasa watu ili mtu apate cheo (ref. majimbo yote ya kupita bila kupingwa), kwa CCM huonekana ni ushujaa.

Wizi, upendeleo, ufisadi ni tabia za kuitambulisha CCM kuliko kitu chochote.

Haya yanayoitambulisha CCM, bila shaka, inaashiria CCM inaishi na shetani. Ndiyo maana ni nadra sana kumwona mtu anayemwabudu na kumwamini Mungu wa kweli, ambaye anasisitiza upendo wa kweli baina ya wanadamu, halafu awe kada wa CCM.

Wanaiba pesa za umma bila ya kuwafikiria watu maskini wanaolipishwa kodi hata kwenye mapato yao duni kabisa (report za CAG huthibitisha jinsi wakubwa wa CCM wanavypiba na kufuja pesa ya umma, na chama chao kikiwabariki maana imekuwa kama itikadi yao).

Hazina ya wananchi, huporwa na CCM ili ikatumike katika kutekeleza uovu wa kwenda kuwahonga wapiga kura wakati wa uchaguzi (Hayati Mkapa alikiri hilo na kujutia kuwezesha uovu huo akiwa Rais na Mwenyekiti wa CCM. Mungu mwenye huruma amjalie msamaha kamili kwa majuto yake siku chache kabla ya kuhitimisha maisha yake ya Duniani).

Kwa sasa, CCM ni alama ya uovu. Jitengeni na muovu ili mpokee baraka.

Ili kumkataa shetani na ccm yake,vijana wazee na watoto wajiunge chadema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom