jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,586
- 43,645
Shalom.
Kutokana na hali inayoendelea sasa juu ya matamshi ya Dr.Bashiru ambaye alipata kuwa KMK na pia KM CCM taifa kuamua bila unafiki kusema hali halisi na kuuishi kanuni za TANU/CCM za kusema ukweli mtupu na kuukataa unafiki.
Tunajua ccm ya sasa ina allergy na ukweli halisi wa mambo hii nikwa kila awamu viongozi wanapenda mapambio na kusifiwa ndio furaha yao kamwe usijaribu kuanika weakness zao hasa mbele ya kuku wengi.
Tumeona mengi namewatokea hata ambao ni ccm kindaki ndaki pale tu walipojaribu kusema ukweli..yuko wapo Job,yuko wapi Pole n.k.
Kwakuwa Dr.Bashiru ni kiongozi aliyeitumikia hii nchi na kujua mengi sana ya hili Taifa.
Nivyema sana ateuliwe kuwa balozi nje ya nchi ili akalitumikie taifa huko kwa weredi.
#MaendeleoHayanaChama