Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanazuoni na sheikh maarufu Maalim Basaleh amefariki dunia leo Jumapili katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu akisumbuliwa na matatizo ya figo na saratani. Mtoto wa marehemu...
16 Reactions
67 Replies
8K Views
Kutokana na hali ya kisiasa na kiuchumi inayoendelea hapa Bongo, nimejikuta nikijiuliza, "Je, inawezekana na CCM nao wanajifunza?" Swali hili limenijia baada ya kutafakari majibu yanayotolewa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rugemalira Mutahaba ameaga dunia wiki jana huko “bondeni”. Ruge ali maarufu kama boss Ruge wa staff ya clouds media na watu wengine ambao hawakuwa waajiriwa wa Clouds media. Ruge alikuwa sort of...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Akiwa Ikulu ndogo Zanzibar leo September mosi 2023 kwenye uapisho wa mawaziri aliowateua Rais Samia amesema mabadiliko aliyoyafanya sio adhabu bali kuboresha. Rais Samia amesema maendeleo lazima...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Hii kiukweli sio sawa, haiingii akilini kwamba Maji yanapatikana vizuri kabisa hapo hapo Serikali inapeleka tena mradi wa zaidi ya Bilioni 200 Mji huo huo ambao hakuna shida ya Maji. Nimekuwepo...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Kuna njia nyingi za kummaliza mwanasiasa kisiasa; moja ya njia hizi ni kuteua na kutumbua bila kutoa kupewa sababu ya kuteuliwa na bila sababu ya kutumbuliwa. Kanda ya Ziwa ni eneo moja wapo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
SHKAMOO MHE. "NABII" GODBLESS LEMA Kati ya viongozi wa upinzani wote, huyu Mshkaji akiwa anaongea, huwa naacha kila kitu ili kumsikiliza. "Nabii" Lema ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na...
35 Reactions
82 Replies
11K Views
- Baada ya Bandari, sasa atuhumiwa kugawa raslimali nyingine kwa Wageni Na Mwandishi Wetu, Shinyanga WAKATI sakata la "Mkataba wa Bandari" likizidi kupamba moto, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo...
49 Reactions
160 Replies
16K Views
Ukienda kushughulikia jambo lako wizara ya ardhi huwezi amini kama Tanzania Ina mpango wowote wa kupambana na rushwa.
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu dogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=H04h3n8tXyA...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Hii kauli ya kwamba jeshi letu liko nafasi ya sita kwa ubora duniani hakika wote tumeipenda na kuitamani na INAJADILIKA maana imesemwa kwa uwazi. Lakini kamanda alisema "nendeni mka Google...
37 Reactions
231 Replies
17K Views
MHE. JANEJELLY NTATE AIBANA SERIKALI KUHUSU SHERIA YA KUTUMA NYARAKA ZA SERIKALI SEHEMU ISIYOHUSIKA HUSUSANI MAGROUP YA WHATSAPP "Sasa hivi kuna utaratibu wa viongozi au maafisa kufungua group...
0 Reactions
2 Replies
909 Views
Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa taifa? Angalieni hiki kituko, uko...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Bunge la Tanzania Agosti 31, 2023 limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012 ambapo pamoja na mambo mengine, itaondoa vikwazo vya...
0 Reactions
3 Replies
777 Views
Nssf imesema imewalipa Watumishi Feki zaidi ya 13,000 takribani Bilioni 35 kama Rais Samia alivyoagiza. Ikumbukwe hao walioitwa Watumishi Feki walifukuzwa utumishi na Marehemu Magufuli Kwa...
5 Reactions
81 Replies
5K Views
Wanabodi, Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana! Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious...
33 Reactions
160 Replies
7K Views
Rais Amevunja Katiba? Hana Mamlaka ya Kunyang'anya Majukumu ya Waziri Mkuu na Kumgawia Mtu Mwingine.Ingekuwa hivyo Katiba ingeliweka Bayana. Ibara ya 36(1) ya Katiba ya JMT ina mpa mamlaka Rais...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa. Alivuta mpunga Dkt. Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo. Alishatupiga sana. Sasa...
14 Reactions
82 Replies
4K Views
Na Nulphin Charles Heche Wakati vijana Kaskazini Magharibi mwa Bara la Afrika wakifanya mapinduzi kuwaondoa madikteta waliodumu kwa muda mrefu kwa msingi wa kuvunja Demokrasia hali ni sawa na...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Ninaandika huu uzi bila kuweka itikadi yangu ya kisiasa huku nikiwa na huzuni. Siku chache tumetaarifiwa kupitia wizara ya katiba na sheria kuwa 51% ya watanzania hawajui chochote kuhusu katiba ya...
0 Reactions
4 Replies
605 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…