Je, Rais amevunja Katiba kwa kuteua cheo nje ya Katiba?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
Rais Amevunja Katiba?

Hana Mamlaka ya Kunyang'anya Majukumu ya Waziri Mkuu na Kumgawia Mtu Mwingine.Ingekuwa hivyo Katiba ingeliweka Bayana.

Ibara ya 36(1) ya Katiba ya JMT ina mpa mamlaka Rais ya kuunda au kufuta Ofisi katika Utumishi wa Uma.Siyo Kufuta au Kuunda Ofisi katika Ofisi ya Waziri Mkuu.Mamlaka ya Rais kuhusiana na Ofisi ya Waziri Mkuu yako katika Ibara ya 51(1) ,(2) na (3) a hadi e na 53 (1).

Ukiisoma Katiba Haihusishi kumpa uwezo Rais kudokoa au kupunguza au kumpa mtu Mwingine Mamlaka ya Waziri Mkuu .

Ibara ya 52(1) ya Katiba ya Jamuhuri ya Muingano wa Tanzania Imeweka bayana Mamlaka yote ya usimamizi wa shughuli za kila siku za serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na kuhusu uendeshaji unaongozwa na Ibara ya 53

JE, Kuwa na Naibu Waziri Mkuu kwa muhtadha ya maelezo ya majukumu yake tuliyoelezwa ni Ukiukaji wa makusudi wa Katiba ya Nchi.

Pia soma
 
Nakumbuka Salim Ahmed Salim pamoja na Augustine Lyatonga Mrema waliwahi kuteuliwa kwenye nafasi za naibu waziri mkuu wakati wa utawala wa Alli Mwinyi, kama sijasahau.
Lakini kwa hili nafikiri Kasim anatakiwa sasa achukue tahadhari ama ajiuzulu, kwasababu hii sio dalili njema kwa afya ya cheo chake, na ikumbukwe kwamba Kasim hakua chaguo la mama kua prime minister.
 
Issue sio kuvunja Katiba, issue huyo naibu Waziri Mkuu ataripoti kwa nani. Boss wake nani ?. Waziri Mkuu anaripoti utendaji wa serikali kwa Rais, Huyu naibu Waziri Mkuu automatically atakuwa naye anaripoti utendaji wa serikali kwa Rais (mteule wake) . Sasa hapo ndio tatizo linapoanza, Taarifa za Naibu waziri mkuu zinaweza zikapewa kipaumbele kuliko taarifa za Waziri Mkuu. Ndio ukisikia watu wanaanza kuchukiana na kuitana machawa na kurogana. Waziri Mkuu kuwekewa mtu atakayemfuatilia utendaji wa ofisi yake inabidi paangalie vizuri, Majukumu ya Naibu waziri Mkuu yawekwe bayana yasiingiliane na majukumu ya waziri mkuu. Tusije kuona Naibu waziri mkuu anamfunika Waziri Mkuu kiutendaji .
 
point, fikirishi.
 
Issue ni kuripoti tu au utendaji kazi?Mtu anayekupenda arakufanyia wepesi kwenye kazi.
 
Rais Amevunja Katiba?

Hana Mamlaka ya Kunyang'anya Majukumu ya Waziri Mkuu na Kumgawia Mtu Mwingine.Ingekuwa hivyo Katiba ingeliweka Bayana.

Ibara ya 36(1) ya Katiba ya JMT ina mpa mamlaka Rais ya kuunda au kufuta Ofisi katika Utumishi wa Uma.Siyo Kufuta au Kuunda Ofisi katika Ofisi ya Waziri Mkuu.Mamlaka ya Rais kuhusiana na Ofisi ya Waziri Mkuu yako katika Ibara ya 51(1) ,(2) na (3) a hadi e na 53 (1).

Ukiisoma Katiba Haihusishi kumpa uwezo Rais kudokoa au kupunguza au kumpa mtu Mwingine Mamlaka ya Waziri Mkuu .

Ibara ya 52(1) ya Katiba ya Jamuhuri ya Muingano wa Tanzania Imeweka bayana Mamlaka yote ya usimamizi wa shughuli za kila siku za serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na kuhusu uendeshaji unaongozwa na Ibara ya 53

JE, Kuwa na Naibu Waziri Mkuu kwa muhtadha ya maelezo ya majukumu yake tuliyoelezwa ni Ukiukaji wa makusudi wa Katiba ya Nchi.

Pia soma
Udhalimu ndio desturi ya watawala wa CCM
 
Unaonaje.badala ya kuwa jaji mfawidhi ukawa raus.mfawidhi?

Kumbuka tu: Ikiwa Rais wa Tanzania ana uwezo mpaka wa kuteua na kutenguwa Rais wa nchi nyingine atakosa uwezo wa kuteua naibu waziri mkuu?

Fikiri kabla hujabwabwaja bila mpango.
 
Ili afanye vizuri zaidi ateue Naibu Rais pia mbali ya Makamu wa Rais. Yaani ukipewa nyundo unapiga chochote Hadi Inzi?
 
Rais wa Tanzania ana mamlaka ndani Tanzania kuliko rais wa USA ndani ya USA.

Nyerere alijiundia katiba ya kumhami sana madudu yake.
 
Ibara inasema bila kuadhiri katiba hii na au Sheria nyingine yoyote, je haiadhiri shrie nyingine? Mjukumu ya waziri mkuu
 
Mkuu kwakifupi waziri mkuu hanakazi Ila imefichwa tu
Issue sio kuvunja Katiba, issue huyo naibu Waziri Mkuu ataripoti kwa nani. Boss wake nani ?. Waziri Mkuu anaripoti utendaji wa serikali kwa Rais, Huyu naibu Waziri Mkuu automatically atakuwa naye anaripoti utendaji wa serikali kwa Rais (mteule wake) . Sasa hapo ndio tatizo linapoanza, Taarifa za Naibu waziri mkuu zinaweza zikapewa kipaumbele kuliko taarifa za Waziri Mkuu. Ndio ukisikia watu wanaanza kuchukiana na kuitana machawa na kurogana. Waziri Mkuu kuwekewa mtu atakayemfuatilia utendaji wa ofisi yake inabidi paangalie vizuri, Majukumu ya Naibu waziri Mkuu yawekwe bayana yasiingiliane na majukumu ya waziri mkuu. Tusije kuona Naibu waziri mkuu anamfunika Waziri Mkuu kiutendaji .
 
Issue sio kuvunja Katiba, issue huyo naibu Waziri Mkuu ataripoti kwa nani. Boss wake nani ?. Waziri Mkuu anaripoti utendaji wa serikali kwa Rais, Huyu naibu Waziri Mkuu automatically atakuwa naye anaripoti utendaji wa serikali kwa Rais (mteule wake) . Sasa hapo ndio tatizo linapoanza, Taarifa za Naibu waziri mkuu zinaweza zikapewa kipaumbele kuliko taarifa za Waziri Mkuu. Ndio ukisikia watu wanaanza kuchukiana na kuitana machawa na kurogana. Waziri Mkuu kuwekewa mtu atakayemfuatilia utendaji wa ofisi yake inabidi paangalie vizuri, Majukumu ya Naibu waziri Mkuu yawekwe bayana yasiingiliane na majukumu ya waziri mkuu. Tusije kuona Naibu waziri mkuu anamfunika Waziri Mkuu kiutendaji .
Technically Majaliwa Kassim Majaliwa anatakiwa ajiuzulu ili Baraza la Mawaziri livunjwe!
 
Thubutu.

Labda madaktari waseme afya yake haimruhusu kuendelea na kazi.

Nahisi kama ni mtu mwenye "side effects" za ARV siku hizi. Zinamfanya awe mweupe zaidi na avimbe vimbe mashavu.

Naamini Kassim Majaliwa hana afya nzuri.

Ndiyo majaaliwa.
 
FaizaFoxy unapicha za karibuni za huyo mtu??
 
Back
Top Bottom