Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,715
- 9,050
Akiwa Ikulu ndogo Zanzibar leo September mosi 2023 kwenye uapisho wa mawaziri aliowateua Rais Samia amesema mabadiliko aliyoyafanya sio adhabu bali kuboresha. Rais Samia amesema maendeleo lazima yawe na bandika bandua.
Rais Samia amewataka walioteuliwa kutumikia watu na upole si ujinga. Kwa wateuliwa wapya kabisa amesema wamekuwa wakipaza sauti kwa mawaziri bungeni sasa ni zamu yao kwenda kutekeleza waliyokuwa wakiyapigia kelele.