Mbowe na nadharia ya Usultani, atamani kuendelea kuitawala CHADEMA kwa miaka 30

msuyaeric

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
838
1,167
Na Nulphin Charles Heche

Wakati vijana Kaskazini Magharibi mwa Bara la Afrika wakifanya mapinduzi kuwaondoa madikteta waliodumu kwa muda mrefu kwa msingi wa kuvunja Demokrasia hali ni sawa na ilivyo kwa chama cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema.

Licha ya kuhubiri Demokrasia chama hicho kimegeuzwa mali ya watu wachache ambao hugawana ruzuku na michango ya chama hicho mithili ya kupe wanyonyavyo damu ya Ng'ombe aliyenona bila hofu ya uwajibikaji wala kuhojiwa, au kuulizwa lolote.

Freeman Mbowe amesimika uongozi wa kisultani katika chama kinachosijinasibu kuwa cha kidemokrasia jambo linaloacha maswali mengi kuliko majibu. Tangu Freeman Mbowe ahodhi nafasi ya Uenyekiti wa Chadema, mtoto aliyezaliwa tayari ni mtu mzima mwenye familia. Jambo hili linaondoa sifa ya Chadema kuhubiri Demokrasia wala misingi bora ya uongozi.

Waliowahi kuthubutu kujaribu kugombea ama kuandaa mipango ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Chadema Taifa walifukuzwa chama kwa mizengwe au kupotea katika mazingira tata. Zitto Zuberi Kabwe na Chacha Wangwe ni mifano dhahiri ya nadharia hii ya kidikteta isiyofaa kwa ustawi wa Demokrasia.

IMG-20230901-WA0048.jpg
 
Atatawala milele, yani mpaka mwisho wa Dunia, mnataka tuache waje kina Mama Tanzania au Lipumba, it has been working with Mbowe na itabaki hivyo.
 
Inawezekana bado hajaona mtu mwenye msimamo kama wake wa kumuachia Chama.

Hivi unajua ni nguvu kiasi gani inatumiwa na Serikali kujaribu kuibomoa hiyo CDM?

Angalia wakati ule wa hayati jinsi Madiwani na Wabunge walivyohama CDM na kuhamia CCM, unajua ni mbinu gani iliwafanya wayafanye yale?

Unajua ni nguvu kubwa kiasi gani ilitumiwa na Mamlaka kumdhohofisha huyo unayemwita Sultan

Kwahiyo iwapo atapatikana Kiongozi mwenye roho nyepesi hapo CDM hachukui miezi 12 Chama kinamfia, maana Serikali itautumia udhaifu wake kukidhohofisha asubuhi na mapema.

Kwani NCCR ya Mrema mwaka 1995 iko wapi?

CUF ya Lipumba mwaka 2000 hadi 2005 iko wapi?

Ni bahati huyo Sultan unayemwita ana Ngozi ngumu, vinginevyo saivi CDM ingekuwa haina tofauti na TLP
 
Huyu Mbowe ndiye aliyemleta Lowasa mwaka 2015 na kumsafisha hadharani kwa mbwembwe. Tangu kipindi hicho alipiteza credibility i ni vigumu sana kumshawishi mtu mwenye akili timamu kuamini kuwa mbowe yuko kwa maslahi ya chama. Ni dhahiri yuko kwa maslahi binafsi.
 
Na Nulphin Charles Heche

Wakati vijana Kaskazini Magharibi mwa Bara la Afrika wakifanya mapinduzi kuwaondoa madikteta waliodumu kwa muda mrefu kwa msingi wa kuvunja Demokrasia hali ni sawa na ilivyo kwa chama cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema.

Licha ya kuhubiri Demokrasia chama hicho kimegeuzwa mali ya watu wachache ambao hugawana ruzuku na michango ya chama hicho mithili ya kupe wanyonyavyo damu ya Ng'ombe aliyenona bila hofu ya uwajibikaji wala kuhojiwa, au kuulizwa lolote.

Freeman Mbowe amesimika uongozi wa kisultani katika chama kinachosijinasibu kuwa cha kidemokrasia jambo linaloacha maswali mengi kuliko majibu. Tangu Freeman Mbowe ahodhi nafasi ya Uenyekiti wa Chadema, mtoto aliyezaliwa tayari ni mtu mzima mwenye familia. Jambo hili linaondoa sifa ya Chadema kuhubiri Demokrasia wala misingi bora ya uongozi.

Waliowahi kuthubutu kujaribu kugombea ama kuandaa mipango ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Chadema Taifa walifukuzwa chama kwa mizengwe au kupotea katika mazingira tata. Zitto Zuberi Kabwe na Chacha Wangwe ni mifano dhahiri ya nadharia hii ya kidikteta isiyofaa kwa ustawi wa Demokrasia.View attachment 2735205
Hii nayo ni Post?
 
Mbowe ni mwamba Aisee..
Siku nikibadili chama, naenda chama chake..
 
Na Nulphin Charles Heche

Wakati vijana Kaskazini Magharibi mwa Bara la Afrika wakifanya mapinduzi kuwaondoa madikteta waliodumu kwa muda mrefu kwa msingi wa kuvunja Demokrasia hali ni sawa na ilivyo kwa chama cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema.
Wanajeshi huwa hawapindui wenyeviti wa vyama, wanapindua marais
 
Huyu Mbowe ndiye aliyemleta Lowasa mwaka 2015 na kumsafisha hadharani kwa mbwembwe. Tangu kipindi hicho alipiteza credibility i ni vigumu sana kumshawishi mtu mwenye akili timamu kuamini kuwa mbowe yuko kwa maslahi ya chama. Ni dhahiri yuko kwa maslahi binafsi.

Kabisa, wewe ndo una credibility. Na ataendelea kuondoza with non credibility.
 
Na Nulphin Charles Heche

Wakati vijana Kaskazini Magharibi mwa Bara la Afrika wakifanya mapinduzi kuwaondoa madikteta waliodumu kwa muda mrefu kwa msingi wa kuvunja Demokrasia hali ni sawa na ilivyo kwa chama cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema.

Licha ya kuhubiri Demokrasia chama hicho kimegeuzwa mali ya watu wachache ambao hugawana ruzuku na michango ya chama hicho mithili ya kupe wanyonyavyo damu ya Ng'ombe aliyenona bila hofu ya uwajibikaji wala kuhojiwa, au kuulizwa lolote.

Freeman Mbowe amesimika uongozi wa kisultani katika chama kinachosijinasibu kuwa cha kidemokrasia jambo linaloacha maswali mengi kuliko majibu. Tangu Freeman Mbowe ahodhi nafasi ya Uenyekiti wa Chadema, mtoto aliyezaliwa tayari ni mtu mzima mwenye familia. Jambo hili linaondoa sifa ya Chadema kuhubiri Demokrasia wala misingi bora ya uongozi.

Waliowahi kuthubutu kujaribu kugombea ama kuandaa mipango ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Chadema Taifa walifukuzwa chama kwa mizengwe au kupotea katika mazingira tata. Zitto Zuberi Kabwe na Chacha Wangwe ni mifano dhahiri ya nadharia hii ya kidikteta isiyofaa kwa ustawi wa Demokrasia.View attachment 2735205
Wenzako wamejaribu wameshindwa. Mpuuzi mmoja wewe unadhani utaweza.. old fashioned CCM techniques!
 
mbowe ndio kiboko ya makuwadi ya warabu kutoka ccm hadi sasa kanda ya ziwa ccm imemalizwa hakuna ccm tena.
 
Inawezekana bado hajaona mtu mwenye msimamo kama wake wa kumuachia Chama.

Hivi unajua ni nguvu kiasi gani inatumiwa na Serikali kujaribu kuibomoa hiyo CDM?

Angalia wakati ule wa hayati jinsi Madiwani na Wabunge walivyohama CDM na kuhamia CCM, unajua ni mbinu gani iliwafanya wayafanye yale?

Unajua ni nguvu kubwa kiasi gani ilitumiwa na Mamlaka kumdhohofisha huyo unayemwita Sultan

Kwahiyo iwapo atapatikana Kiongozi mwenye roho nyepesi hapo CDM hachukui miezi 12 Chama kinamfia, maana Serikali itautumia udhaifu wake kukidhohofisha asubuhi na mapema.

Kwani NCCR ya Mrema mwaka 1995 iko wapi?

CUF ya Lipumba mwaka 2000 hadi 2005 iko wapi?

Ni bahati huyo Sultan unayemwita ana Ngozi ngumu, vinginevyo saivi CDM ingekuwa haina tofauti na TLP
mbowe huyu aliehongwa na fisadi lowasa ?
 
Huyu Mbowe ndiye aliyemleta Lowasa mwaka 2015 na kumsafisha hadharani kwa mbwembwe. Tangu kipindi hicho alipiteza credibility i ni vigumu sana kumshawishi mtu mwenye akili timamu kuamini kuwa mbowe yuko kwa maslahi ya chama. Ni dhahiri yuko kwa maslahi binafsi.
Huyo lowasa yuko wapi saiv, au hujui kuwa lowasa lilikuwa fisadi lilifikir chadema kuna mafisadi wenzake lilipokuja likakuta chadema hakuna ufisadi likaona lirudi kwa mafisafi menzake ccm ambayo kwasasa mmregeuka MAKUWADI YA WARABU DPWORLD. Kwa taarifa yenu mbowe tutamchagua miaka yote mpaka atakapokufa ili awakomeshe makuwadi ya warabu koko.
 
Na Nulphin Charles Heche

Wakati vijana Kaskazini Magharibi mwa Bara la Afrika wakifanya mapinduzi kuwaondoa madikteta waliodumu kwa muda mrefu kwa msingi wa kuvunja Demokrasia hali ni sawa na ilivyo kwa chama cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema.

Licha ya kuhubiri Demokrasia chama hicho kimegeuzwa mali ya watu wachache ambao hugawana ruzuku na michango ya chama hicho mithili ya kupe wanyonyavyo damu ya Ng'ombe aliyenona bila hofu ya uwajibikaji wala kuhojiwa, au kuulizwa lolote.

Freeman Mbowe amesimika uongozi wa kisultani katika chama kinachosijinasibu kuwa cha kidemokrasia jambo linaloacha maswali mengi kuliko majibu. Tangu Freeman Mbowe ahodhi nafasi ya Uenyekiti wa Chadema, mtoto aliyezaliwa tayari ni mtu mzima mwenye familia. Jambo hili linaondoa sifa ya Chadema kuhubiri Demokrasia wala misingi bora ya uongozi.

Waliowahi kuthubutu kujaribu kugombea ama kuandaa mipango ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Chadema Taifa walifukuzwa chama kwa mizengwe au kupotea katika mazingira tata. Zitto Zuberi Kabwe na Chacha Wangwe ni mifano dhahiri ya nadharia hii ya kidikteta isiyofaa kwa ustawi wa Demokrasia.View attachment 2735205
Sikubaliani watawala wa muda mref hasa wa Nchi, kwa Mbowe na siasa za Tanzania nadhan anahitajika zaid mtu calibre yake. Sabab chama tawala always kimewashika wenyeviti wa vyama vyote vya upinzani ndio maan wametulia kimya cz ni marufuku kuongea ongea wakati wa kula!! Cha msingi hao CDM waanze mkakati wa kumpata mrithi ambae c wa kununuliwa!! Ingawa CCM humpiga vita muda mref kwa madai anang'ang'ania madarakani bila watu kujua huo ni mtego wa CCM 🤣🤣🤣. Angalia issue ya mwambe 🤣🤣🤣🤣
 
Usiwe mjinga tafuta katiba ya Chadema usome ndipo uje hapa siyo unatowa habari huko unakuja mbio hapa.
Na Nulphin Charles Heche

Wakati vijana Kaskazini Magharibi mwa Bara la Afrika wakifanya mapinduzi kuwaondoa madikteta waliodumu kwa muda mrefu kwa msingi wa kuvunja Demokrasia hali ni sawa na ilivyo kwa chama cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema.

Licha ya kuhubiri Demokrasia chama hicho kimegeuzwa mali ya watu wachache ambao hugawana ruzuku na michango ya chama hicho mithili ya kupe wanyonyavyo damu ya Ng'ombe aliyenona bila hofu ya uwajibikaji wala kuhojiwa, au kuulizwa lolote.

Freeman Mbowe amesimika uongozi wa kisultani katika chama kinachosijinasibu kuwa cha kidemokrasia jambo linaloacha maswali mengi kuliko majibu. Tangu Freeman Mbowe ahodhi nafasi ya Uenyekiti wa Chadema, mtoto aliyezaliwa tayari ni mtu mzima mwenye familia. Jambo hili linaondoa sifa ya Chadema kuhubiri Demokrasia wala misingi bora ya uongozi.

Waliowahi kuthubutu kujaribu kugombea ama kuandaa mipango ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Chadema Taifa walifukuzwa chama kwa mizengwe au kupotea katika mazingira tata. Zitto Zuberi Kabwe na Chacha Wangwe ni mifano dhahiri ya nadharia hii ya kidikteta isiyofaa kwa ustawi wa Demokrasia.

View attachment 2735205
 
Back
Top Bottom